Dpresident tz
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 433
- 454
Kumbe unamatatizo ya kichwa Tanzania hakuna company inayotengezeza magari ila hao wanarekebisha mabodi kama Mwanza kuna compuny inaitwa west land ndo kazi yao ndo maana yanabaki na business name ya TOYOTA.Ila Mwanza kuna international company inaitwa Songoro Marine Company inatengeza Meli afrika mashariki nakati.Haaaaa tupicha huwa ni tule tule kwenye angle tofauti maana hakuna jipya huko kwenye mwalo wa wavuvi..
RSA watengenezaji wa magri ya kitalii EAC nzima ndani ya Arusha 👇
View attachment 2207350
View attachment 2207351
View attachment 2207352
unazungumzia gari we mbona mtuwa ajabu sana? hiyo gari unayoiongelea hata milioni 200 haizidi kwaiyo umeona kitu cha maana sanaHaaaaa tupicha huwa ni tule tule kwenye angle tofauti maana hakuna jipya huko kwenye mwalo wa wavuvi..
RSA watengenezaji wa magri ya kitalii EAC nzima ndani ya Arusha [emoji116]
View attachment 2207350
View attachment 2207351
View attachment 2207352
sasa hawa wabalabaigi, sijui wachaga wanaacha kuiongelea kampuni ambayo inatengeneza meli wanaiongelea kampuni inayotengeneza mabodi ya gari uko kwao mivombaniKumbe unamatatizo ya kichwa Tanzania hakuna company inayotengezeza magari ila hao wanarekebisha mabodi kama Mwanza kuna compuny inaitwa west land ndo kazi yao ndo maana yanabaki na business name ya TOYOTA.Ila Mwanza kuna international company inaitwa Songoro Marine Company inatengeza Meli afrika mashariki nakati.
utafananishaje jiji ambalo lina manispaa na jiji ambalo halina manispaa hata moja?Arusha haikamatiki
Weka hata ya elfu 50 inayotengenezwa Mwalo wa Mwanza 🤣🤣🤣🤣unazungumzia gari we mbona mtuwa ajabu sana? hiyo gari unayoiongelea hata milioni 200 haizidi kwaiyo umeona kitu cha maana sana
mbona huongelei meli ya zaidi ya bilion 7 iliyotengenezwa Mwanza hapa
we si umeona ile meli kubwa east africa nzima imetengenezwa Mwanza?
Weka hata kampuni kama hiyo inayorekebisha magari kutoka mwalo wa MwanzaKumbe unamatatizo ya kichwa Tanzania hakuna company inayotengezeza magari ila hao wanarekebisha mabodi kama Mwanza kuna compuny inaitwa west land ndo kazi yao ndo maana yanabaki na business name ya TOYOTA.Ila Mwanza kuna international company inaitwa Songoro Marine Company inatengeza Meli afrika mashariki nakati.
Weka hata kampuni kama hiyo inayorekebisha magari kutoka mwalo wa Mwanza
Tatizo lako unakurupuka tu nimeandika Mwanza kuna company inaitwa westland hiyo ndo kazi yakeTatWeka hata kampuni kama hiyo inayorekebisha magari kutoka mwalo wa Mwanza
Hana taarifa huyu [emoji1][emoji1][emoji1]Tatizo lako unakurupuka tu nimeandika Mwanza kuna company inaitwa westland hiyo ndo kazi yake
Kubwa jinga.Mwanza ni mji mkubwa, Arusha ifukuzane na dodoma
Ndio nini sasa? Ndio ushamba wenyewe yani. Unajua sehemu ya kwanza Tanzania kufanya in vitro fertilization tena in masses? Sehemu inayoongewa lugha nyingi za kimataifa Tanzania? Arusha. Hawaongei tu na wana mengi sana. Mwanza is a country ass city. Chill.Mwanza on wheels, B za kutosha zimeingia kutoka +256 [emoji3059][emoji3059][emoji3059]View attachment 2207684
Hii Songoro Marine, ipo karibia kila sehemu yenye maziwa makuu, Mbeya included, mpaka huko Dsm - Kigamboni wanayo yard ila HQ ni Ilemela Mwanza
Senior idiot!!!Ndio nini sasa? Ndio ushamba wenyewe yani. Unajua sehemu ya kwanza Tanzania kufanya in vitro fertilization tena in masses? Sehemu inayoongewa lugha nyingi za kimataifa Tanzania? Arusha. Hawaongei tu na wana mengi sana. Mwanza is a country ass city. Chill.
Hakuna mji ukaitwa jiji na uko mwambao wa maji mengi ukawa wa kijinga, labda uwe ni mkoa wa kawaida,jaribu kutumia akili,Jiji la Mwanza ni jiji linalo hudumia mikoa ya kanda ya kanda ya ziwa yote kwa mahitaji, unadhani jiji hilo litakuaje? Arusha ina watu wasio zidi laki saba, lakini Mwanza ina watu zaidi ya milioni moja na laki tatu,population ya watu pia ni sehemu ya kukua kiuchumiMwanza bado Sana , huwezi linganisha na Jiji la ki shua kama Arusha.
Jionee mwenyewe [emoji116]
View attachment 2205870
View attachment 2205871
View attachment 2205872
View attachment 2205873
View attachment 2205874
View attachment 2205875
View attachment 2205876
View attachment 2205878
View attachment 2205879
View attachment 2205880
View attachment 2205881
View attachment 2205882
View attachment 2205883
View attachment 2205884
View attachment 2205885
View attachment 2205886
View attachment 2205887
Ndio Mwanza ni WA kijinga tuu na WA hovyo.Hakuna mji ukaitwa jiji na uko mwambao wa maji mengi ukawa wa kijinga, labda uwe ni mkoa wa kawaida,jaribu kutumia akili,Jiji la Mwanza ni jiji linalo hudumia mikoa ya kanda ya kanda ya ziwa yote kwa mahitaji, unadhani jiji hilo litakuaje? Arusha ina watu wasio zidi laki saba, lakini Mwanza ina watu zaidi ya milioni moja na laki tatu,population ya watu pia ni sehemu ya kukua kiuchumi
Watu tunaongelea heavy industry, yeye anatuletea story za ovaries na uterus [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Senior idiot!!!
View attachment 2207953
Pambaneni na hiki kisehemu