We mla unga na mpiga debe stand siyo kosa lako, mwenye kosa ni aliyekushauri kununua smart phone na kujiunga huku jamii forum. Mmeharibu radha na maana halisi ya hii platform. Mshamba ni wewe na wavuta bangi wenzioNdio nini Yani? Hadi aibu. Kweli washamba. Hicho kitakataka ndio cha kutambia? Washamba bana. Hivo Arusha wanavyovingiii vikali Yani ni kawaida hawashtuki.
Madhara ya bangi huonekana baada ya mda mrefu. Huyu tukiendelea hivi kuna siku atatupostia makopo humu.Watu tunaongelea heavy industry, yeye anatuletea story za ovaries na uterus [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ladha βWe mla unga na mpiga debe stand siyo kosa lako, mwenye kosa ni aliyekushauri kununua smart phone na kujiunga huku jamii forum. Mmeharibu radha na maana halisi ya hii platform. Mshamba ni wewe na wavuta bangi wenzio
Wewe ni schizophrenic tangu embryo genesis ni vile tu umechelewa kuanza dawa, boya wewe.Ladha β
Radha β.
Jamiiforums β
Jamiiforumsβ.
Jinga kweli shamba la Mwanza. Nani ushamskia anaota kwenda kuishi huko mashenzini? Watu wa Mwanza mnaugua delusions of grandiosity.
Pata mda utoe tofauti kati ya delusion na grandiosity unamiliki simu level za wanaojielewa halafu unatuletea harufu ya kinywa chako hapaLadha β
Radha β.
Jamiiforums β
Jamiiforumsβ.
Jinga kweli shamba la Mwanza. Nani ushamskia anaota kwenda kuishi huko mashenzini? Watu wa Mwanza mnaugua delusions of grandiosity.
Kahama [emoji3059][emoji3059][emoji3059]Case closed,majibu ya Takwimu,Arusha iko juu [emoji116]
View attachment 2213992
View attachment 2213997
Kahama bila migodi hamna kitu..Migodi kibao iko ukanda huo na center yao kuu ni Kahama kwa hiyo bado Kahama ni mnufaika wa migodi.Kahama [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Inafukuzana na Kigamboni, Morogoro, Ilemela. Na hapo Buzwagi imefungwa muda mrefu tu, hayo mapato hayahusu uwekezaji mkubwa wa migodi [emoji38][emoji38][emoji38] Imagine Buzwagi ingekuwa bado inafanya kazi [emoji38][emoji38][emoji38]
Machimbo yaliyopo Manispaa ni yapo Mwime (mjini) nayo ni ya msimu. Sasa sijui unauongelea migodi ipi Boss?Kahama bila migodi hamna kitu..Migodi kibao iko ukanda huo na center yao kuu ni Kahama kwa hiyo bado Kahama ni mnufaika wa migodi.
Morogoro hamna kitu,imefunikwa
Mbona umemaliza huu mjadala mapema si ungesubiri kidogo πππππ€£π€£
sasa mkuu kila kitu wanaharishiwa na Arusha sasa tunashindamisha nini?? π€£π€£Mbona umemaliza huu mjadala mapema si ungesubiri kidogo πππππ€£π€£
Mimi mwenyewe nashindwa kuelewa watu wanabishana nini wakati TAKWIMU zipo wazi kabisa. yaani mtu anatumia nguvu kubwa kujieleza kwa hisia badala ya kutumia facts na zinapatikana kwa urahisi kabisa π€£π€£ππππ.sasa mkuu kila kitu wanaharishiwa na Arusha sasa tunashindamisha nini?? π€£π€£