Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Naishi Arusha kwa mda, ila Mwanza ni kuzuri sana yaani kwa ukweli aisee....nataka hamia huko. Ikifika mida ya kuanzia saa moja jioni kila biashara inapata wateja mafuriko!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…