JIKUMBUSHE (VIDEO): Tundu Lissu akisambaratisha hoja za watetezi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar usio na ridhaa ya wananchi

Hata wewe jaribu uanze kuongea kila kitu cha ukweli mtupu utachikiwa na na watu wengi wabaya !! Na duniani watu wabaya wakorofi ndio wengi !! Lakini utapendwa na wema na Mungu atakupenda pia na atakulinda !!
💯🙏🙏🙌
 
Hii kichwa ilimsumbua sana Zuzu wa Taifa, akaona bora niisukumie moto, motoni akaanguka mwenyewe
 
huyu jamaa ni kichwa sana basi tu nadhani hakwenda mahali sahihi tu.tujitafakari sisi wengine.
TL angeamua kutazama tumbo Lake huenda angekuwa Spika wa Bunge au Waziri Mkuu au Hata Makamu wa Rais basi. Maana huko ccm ana sifa zote hakuna wa kumzidi hili hata System inatambua hilo.
 
TL angeamua kutazama tumbo Lake huenda angekuwa Spika wa Bunge au Waziri Mkuu au Hata Makamu wa Rais basi. Maana huko ccm ana sifa zote hakuna wa kumzidi hili hata System inatambua hilo.
Absolutely...!

Eti Pascal Mayalla hujaribu kumweka level ya au chini ya Zito Kabwe...

Mimi humshangaa sana huyu ndugu. Sijui yeye hutumia vigezo shikizi vya wazi na siri vipi anapotoa comparison yake...
 
huyu jamaa ni kichwa sana basi tu nadhani hakwenda mahali sahihi tu.tujitafakari sisi wengine.
Sahihi ni wapi kwani...?

Usije kutuambia kuwa mahali sahihi ni huko kwa maCCM...

Kama ndiyo mawazo yako, basi hata wewe hufikiri kwa usahihi kwa sbb unaamini visivyo sahihi...
 
Naunga mkono hoja na hili hata mimi nalitambua na niliisha m profile humu
  1. Mifano ni hii Vurugu za Bungeni: Mhe.Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!.
  2. Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!, Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!.
  3. Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!
  4. Unamjua aliyemshauri Lissu agombee urais?. Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
  5. Je ulijua Tundu Lissu alisita kurejea nchini hadi ahakikishiwe usalama wake?, unajua kina nani walimshauri arejee hivyo hivyo hata bila kuhakikishiwa usalama wake? Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
  6. Lissu is very good kwa kujenga hoja ila pia ni binadamu na sio malaika, anaweza kukosea, mfano kwenye hili Lissu aliwaingiza chaka Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele!
  7. Hakuna mtu anayefanikiwa peke yake, ukiona mtu kafanikiwa kwenye jambo fulani ujue kuna watu wamemsaidia alipaswa kuwashukuru Nyaraka za Muungano: Tundu Lissu kutoishukuru JF na Pasco maana yake nini?
  8. Eti Pascal Mayalla hujaribu kumweka level ya au chini ya Zito Kabwe...
Ukilinganisha vitu, linganisha vitu vinavyofanana, watu wanaofanana, usilinganisha mbingu na nchi au jua na mwezi!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…