Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Haa wang'Tundu lisu nyaghaamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa wang'Tundu lisu nyaghaamba
Two different people !! Hatar sn !angeenda hapo mahali unapoita sahihi sijui ni wapi asingekuwa hivi
unamkumbuka polepole wa bunge la katiba na polepole mwenezi wa ccm?
💯🙏🙏🙌Hata wewe jaribu uanze kuongea kila kitu cha ukweli mtupu utachikiwa na na watu wengi wabaya !! Na duniani watu wabaya wakorofi ndio wengi !! Lakini utapendwa na wema na Mungu atakupenda pia na atakulinda !!
Gabisa warea!Haa wang'
Wapo lakini wachache sanaHakuna mzalendo kama yeye
Perfectly.Knowledge is power...
Wale jamaa waliposikia hivyo waliona Kama Tundu Lissu ni kikwazo kwenye upigaji wao.Hoja makini sana kuhusu Muungano.!
God Bless TL.
Hii kichwa ilimsumbua sana Zuzu wa Taifa, akaona bora niisukumie moto, motoni akaanguka mwenyeweView attachment 2404531
Huyu jamaa ni mtukutu sana.
Huyu jamaa ni jasiri sana.
Huyu jamaa ni msomi kwelikweli na ni mzalendo kwelikweli.
Huyu jamaa hana longo longo, haogopi kumchana chana yeyote kwa hoja mpaka utainamisha kichwa chini kwa aibu.
Kwenye picha ya video hii nawaomba wana CCM mpaka wanaona aibu na kuinamisha vichwa chini.
We miss you Tundu Lissu.
Kweli kabisa !Wapo lakini wachache sana
We miss him very muchKwenye picha ya video hii nawaomba wana CCM mpaka wanaona aibu na kuinamisha vichwa chini.
We miss you Tundu Lissu.
TL angeamua kutazama tumbo Lake huenda angekuwa Spika wa Bunge au Waziri Mkuu au Hata Makamu wa Rais basi. Maana huko ccm ana sifa zote hakuna wa kumzidi hili hata System inatambua hilo.huyu jamaa ni kichwa sana basi tu nadhani hakwenda mahali sahihi tu.tujitafakari sisi wengine.
😅😅😅Presentation kuntu👌
Walimchukia kwa kuwa haamini kwenye u CHAWA
Absolutely...!TL angeamua kutazama tumbo Lake huenda angekuwa Spika wa Bunge au Waziri Mkuu au Hata Makamu wa Rais basi. Maana huko ccm ana sifa zote hakuna wa kumzidi hili hata System inatambua hilo.
Sahihi ni wapi kwani...?huyu jamaa ni kichwa sana basi tu nadhani hakwenda mahali sahihi tu.tujitafakari sisi wengine.
Naunga mkono hoja na hili hata mimi nalitambua na niliisha m profile humuHuyu jamaa ni mtukutu sana. Anapiga nyundo sadistically kiasi cha kukera sana...!
Lakini on the other hand huyu jamaa ni jasiri sana vile vile...
Anaweza kufanya jambo ambalo wengine wote mnaweza kugwaya kulifanya...
Huyu jamaa ni msomi kwelikweli na ni mzalendo kwelikweli.
Eti Pascal Mayalla hujaribu kumweka level ya au chini ya Zito Kabwe...
Hamzidi Shujaa wa Ukweli Mwamba wa ChatoLissu ni shujaa
Hamzidi Shujaa wa Ukweli Mwamba wa Chato
Kwasababu umesema ni poyoyo hivyo jibu liko kwenye poyoyoDaah! Tundu Lisu ni hazina ya nchi hii. Hivi ni kwann lile poyoyo lilitaka kumuua??