Uchaguzi 2020 Jimbo la Nyamagana, Mabula huwezi kutoboa I swear

Uchaguzi 2020 Jimbo la Nyamagana, Mabula huwezi kutoboa I swear

Sio Mabura tu CCM haina chake mkoa wa Mwanza mwaka huu wasipokuwa makini Lissu atashinda mpaka Chato.
Habari za ndani kabisa zilizotufikia, Magufuli hata chato hatoboi, sembuse wagombea wake!!! Huyo Mabula ni cha mtoto tu. Chato kuna chuki za kifamilia huko nyumbani. Jamaa, pamoja na upendeleo, kalizua la utengano. Kweli, kuishi bila busara ni hasara.
 
Habari za ndani kabisa zilizotufikia, Magufuli hata chato hatoboi, sembuse wagombea wake!!! Kuna chuki za kifamilia huko nyumbani. Jamaa, pamoja na upendeleo, kalizua la utengano. Kweli, kuishi bila busara ni hasara.
Wahutu ndivyo walivyo!!
 
Nyamagana mna ule utaratibu wenu wa mitano mitano msije mkatuangusha tafadhali sisi wenzenu wa Vunjo
 
Nyamagana hatujawahi ludia upumbavu toka dunia imeumbwa uklazmsha10 unakufa....Ata wenje alishnda2015 ila ndio ivo hakuna namna.apa ata Aje maraika kugombea ikfka mitano atoboi mingne.....CCM wanajua fka utalatbu wetu sjui ata kwann walmludsha mabura wakat wanajua kunamtu alshawah kufa kwapresha miaka yanyerere baada yakutenda mema lakn wezee wetu wakamkataa asilud
 
Wananyamagana msitusemee tumemeamua kubak na mabula
Upo Nyamagana ipi brother?hii yetu mabati,Buhongwa,butimba,Isamiro,Igogo,bugarika,Igoma.......sisi huwa hatuli matapshi navbudu......labda Nyamagana yenu yauko Sangamwalugeshe....sisi ndio Mwanza namwanza ndio sisi sehemu kubwa yaNyamagani nimjn kati nadunian kote mjn Kati hakaagi mjnga
 
Nasikia hapo Nyamagana upepo ni wa Pambalu
Mkuu mimi nipo site hapa Nyamagana. Mh. Stanslas Mabula (CCM) atapita kwa zaidi ya asilimia 76℅. Mh. John Pambalu (Chadema) atapata asilimia 14℅. Mh. Chagulani (ACT Wazalendo) atapata asilimia 7℅. Na wagombea wengine watapata asilimia 3℅.

Wanaosema CCM itashindwa Nyamagna ni tambo tu za uchaguzi. Mwaka huu tumejipanga kuuvunja mwiko!
 
Pambalu hana maajabu yoyote,hawezi kuwa mbunge.
Mh. Pambalu anatarajia kupata kura CHACHE SANA kwenye Kata ya Butimba kwasababu hajawahi kufanya kazi yoyote ya udiwani pale Kata ya Butimba tangu 2017 halafu leo awe Mbunge?
 
"..is most Competence"[emoji3582]

Corrections;
1.Most hutanguliwa na the= the most
2.Competence ni hali, competent ndio nomino= competent.
3. Kwa kuwa unalinganisha watu wawili usingetumia neno "most" ungetumia "more"= more competent

Sio lazima kutiamo kiingereza ndio unakuwa umeonesha msisitizo..lugha ya watu hii.. watakufunga!

Kutumia "most" yupo sawa. Si lazima iwe watu zaidi ya wawili.

Huko kwingine upo sawa
 
Kwa kweli ccm wengeweka mtu mwingine ningempa kura ila mabula hapana kabisa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Huyo dada syo kabisa aliwah kuwa DC butiama mnyanyasaji mgodi akamilikisha kwa mwekezaji wote wazawa wakawa hawana kitu Kila siku migogoro haishi alishindwa kabisa kuhendo migogoro
 
Back
Top Bottom