Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
CDM ni ccm A1
You may have a valid point if we had to dig deeper upande wa Mwenyekiti/Mrithi wa chama!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CDM ni ccm A1
I have alot of doubtsYou may have a valid point if we had to dig deeper upande wa Mwenyekiti/Mrithi wa chama!
Acha kujidanganya wewe,kura milioni 6 mwaka 2015 zilitoka twitter??Hahahahahahaha yeye akiwekea mapingamizi wengine hawakimbiliii mitandaoni lakini kawekewa yeye fasta anakimbilia mitandaoni kulia lia Chadema wameshaona mitandaoni kama ndo HQ yao si Ufipa tena...
aya tusubiriUtasubiri sana..
Nimekusoma Chief!
My point was, kuna watu tayari wameumbwa hivyo! Hata huyu ndugu yetu miezi kadhaa tu ilopita alikua upande wa negative na Serikali kiasi alianza kuwindwa!! So he is a kind of guy who rebels against all things that ain’t got any favors kwake! (Mbinafsi!)
Nakubaliana nawe Zitto ni mzuri sana kwenye Siasa na siasa ili ufanikiwe unatakiwa uwe na ushirikiano wa hali ya juu na wale wa timu yako hata kwa sekunde moja usiweke mbele maslahi yako binafsi.
Kama si usaliti nadhani hadi hii leo angekuwa bado yuko Chadema. Sijui kama kaacha hii tabia au la kama bado anayo basi inaweza kabisa kuwa chanzo cha kuisambaratisha/kuidhoofisha ACT Wazalendo.
🤔 Sasa na yeye kaweka pingamizi huku na yeye kakosea pia form yake. Asilalamike kama ACT wameona kosa,wana haki ya kuweka pingamizi.
Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa ACT Wazalendo wamewawekea mapingamizi wagombea wa CHADEMA katika Halmashauri ya Ubungo akiwemo yeye.
Amedai pia, ACT haijawawekea mapingamizi CCM.
Huyu sio Membe kupitia ACT?
Acha kujidanganya wewe,kura milioni 6 mwaka 2015 zilitoka twitter??
Tukio: Mgombea wa ACT kamuekea Pingamizi Mgombea wa Chdema.
Chadema Fanboys: Zitto ni Msaliti, ACT ni CCM B.
Tukio: Wagombea wa Chadema wamewawekea Pingamizi wagombea wa ACT hulo Wazo na Kunduchi.
Chadema Fanboys: Wanaona hii ni sawa na wala hapana usaliti wowote uliofanyika.
Double Standard na Hypocrisy kwa Vijana wa Chadema kwamwe haitoondoka.
I beg to differ!
Wakati wa kuwamba ngoma kila mmoja huvutia kwake!
It ain’t even about double standards! It’s all about Selfishness! (Mimi,Mimi,Mimi!)
Hawezi kuacha, haaminiki, ni mchumia tumbo hodari sanaHuyo jamaa si wa kumuamini hata chembe. Usaliti uko kwenye damu yake. Sijui kama ataacha usaliti huyu.
Umeongea kweli, But wenzetu Chadema wao wakifanyiwa Kitu huona hawadeserve kufanyiwa as if wao wanaruhusa ya kufanyiwa lolote lakini si ruhusa wao kufanyiwa chochote.
Akili yako haikutoshi kuchangia hoja hii. Uelewa wako ni mdogo sana. Tatizo ni hili la siasa kukimbiliwa na vilaza wote.Hahahaha mpk sasa CCM wapo kimya ni nyinyi kutwa mitandaoni kulalamika na kutafuta kura za huruma niwambie tu haijawai tokea Tanzania mtu akasema nimempigia kura fulani kwa sababu nimemuonea huruma watanzania kuoneana huruma ni ktk mapenzi tu..
Sasa kama mnatafuta wapenzi mnaweza kuonewa huruma but kama mnatafuta kutawala nchi jua watu wanataka sera za kiuchumi na kijamii na mueleze mtatufikisha wapi kiuchumi kitu ambacho hamuwezi kabisa kama mmeshindwa kujenga hata ghorofa moja yawe HQ yenu na ruzuku mnapata na wabunge wenu wanakatwa fedha kila mwisho wa mwezi lakini mmeshindwa hata kununua kiwanja Chanika
Chadema ccm ACUF ni ccm C, TADEA ni ccm D, NRA ni ccm E.
Unatumia kinywaji gani? Mwambie waier akuongezee kwa bili yangu
Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa ACT Wazalendo wamewawekea mapingamizi
TLP je?CUF ni ccm C, TADEA ni ccm D, NRA ni ccm E.