kwanini usitimie yale majina ya nyumbani kabisa ya asili yetu gentleman, mathalani Nyamakhancha, Kukoshubira n.k?Hili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukristo
Ushuhuda gani Sasa mkuu😄Sister Abigail njoo utoe shuhuda
Kuna mdau kasema nyie wazito darasani😂Ushuhuda gani Sasa mkuu😄
Hata jina kuwa zuri au baya inategemea mtu na mtu.Hiyo kua mzito darasani labda itategemea na mtu na mtu.
😁 Amuite tu Ili vijana wapate sehemu ya utelezi KitongaAchana nalo atakuja kuwa malaya
Wewe ni dini gani?kwanini usitimie yale majina ya nyumbani kabisa ya asili yetu gentleman, mathalani Nyamakhancha, Kukoshubira n.k?
haya ya kutohoa kwenye jamii zingine hua siyaelewagi kabisa . Yaani mmakonde ana jina la kifaransa, au mgogo ana jina la kinyakyusa 🐒
Kim Jong ni ukoo wenu?Unashindwa kumuita majina ya ukoo wenu unamuita majina ya koo zingine za wazungu.
Amuite hata Kidawa, jina zuri la kibantuKwanu huko kwenu hakuna majina ya kiasili, acheni kutumikia majina ya mataifa mengine
Inategemea na mzazi wakeKuna mdau kasema nyie wazito darasani😂
Unge onesha mfano kwa I'd Yako hayo majina. Ungekuwa umeongea kitu halisi 😆Unashindwa kumuita majina ya ukoo wenu unamuita majina ya koo zingine za wazungu.
Sio mtoto nina watotoWewe una mtoto?
Mimi mtoto wangu wa kike anaitwa SiwemaWewe wa kwako anaitwa nani?
Hilo jina kutoka ulaya lina ushoga na usagaji vipi uko tayari alithishwe?Ukoo wangu una uganga sitaki arithishwe
Mke wa Daudi kwenye bibliaHili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukris