[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijatukana switi yani hili jina linanikera kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni n.k
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Jackline,mpaka leo unatapatapa.Mwanamke gani,laghai usieridhika?Na nimegundua baada ya utafiti ,Wakina Jackline wengi ni majanga.
Mamiii hivi walisema tukitaja majina tusindikizie na tusi?Inno go to hell uncircumsude baboon.
TRA kumbe ubabe sio kwenye maduka na ofisi za watu hata bibi za wenyewe,? Gaii! NyambaffEliza popote ulipo sitokusahau popote ulipo ulipo nisaliti tulikiwa chuo kumbe umempata libaba la TRA la huko Iringa hadi nikakataa kukupa mchango wa sendoff yakoo kisa moyo unaumaa
Pole sisterGodfrey nguchiro mkubwa wewe..pumbavu nyashu zako
Pole Sana mkuuJanet....sitokusahau ingawa umri unaenda mwili unajichokeea ila ulichokifanya juu yangu Moyo tu unajua.
Hamna bwana, sema tu wanawake humu sio wengi na huwa hawafunguki sana.katika hii naona Madem wameliza wengi!!! wanalaaniwa balaa!!!
hahahaah
Brother ulimsomesha kabisa? Kwa wema lakini akakulipa cheatingDuuh akina jackline wametisha sana,
Ila Neema! neema! neema! wewe ni kiumbe wa ajabu sana, ulinionesha mapenzi hata shetan aliyaogopa, but haurudhiki neema unachit lkn unajitia mtakatifu sana na kila wakati unalia machozi kana kwamba wewe ndie unaonewa. sintosahau siku ile nimebahatisha password ya simu yako. Natamani hata nisingeifungua simu yako siku ile maana kwa jinsi nilivyokuamini na kutamba mtaani duh! aisee Neema wewe sintokusahau ninaamini uliniroga si bure, maana hata nilipokufumania ulikataa katu katu na kujifanya umezirai kumbe naibiwa mie. Ila sawa mungu ndo muweza wa yote na ada niliyokulipia cerificate na diploma pale UCC nilishasamehe. ILA SINTOKUSAHAU!
Hawa mademu siwaelewagi tatizo ni majina yao au miniJackline wewe mtoto wa kimbulu maninaa zako!! F*ck you Jackline!!
Ulikua mwongo hata shetani akukutii, malaya fisadi kiwembe.. Mamayo zako kafie mbele!!!!!
Na mimi naongezea huyo kweli bwegeandaziTiSS wa ukweli hawezi tumia title yake kumtishia mtu kisa mapenzi...huyo bwege tu
tehe tehe teheMamiii hivi walisema tukitaja majina tusindikizie na tusi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukikumbuka tu ushe.nzi aliokifanyia automatically tusi linakujaMamiii hivi walisema tukitaja majina tusindikizie na tusi?
Ndivyo inavyotakiwa hivyo brother, ardhi ni hii hii tunayokanyagaRose..hyu kiumbe alinitendea ukatili usiofutika moyoni mwangu..amefanya ad sasa sina moyo Wa kupenda tena...sina haja ya kukulaani nadhan unayoyapitia sasa yalikustahili..