Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,997
UlimnyooshaPia kuna Maria alinisaliti vibaya!!!! what's the helly with you Mary. Ulinidanganya unaenda kulala ofisini kwenu kuna kazi kutwa nzima na unaweza kulala ili mmalize kazi uende likizo. Kumbe ulienda town kugawa uroda kwa lijamaa mliosoma nalo. Kama upo humu jf umenijua. Nilikuacha bila kusema sababu na uliporudi likizo ukanikuta sina mpango na wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Rahma huyu mwanamke nimekua naye na mahusiano miaka minne alafu anakuja kuolewa na mwanaume aliyeonana nae siku moja kweli wanawake hawana shukrani
Hahahaaaa umempa za uso.Inno go to hell uncircumsude baboon.
Kweli kabisa mdogo wangu.Mtu badala asonge mbele bado anawaza ya nyuma.
Maisha inabidi yaendelee tu
Vp mkuu mule mule sio[emoji1][emoji1][emoji1]Aisee....
kama nakufahamu vile ninjaMimi siwezi kumsema sana amenizalia Mtoto lakini nilichojifunza, Pesa inanafasi kubwa mno katika mapenzi
Hapana mkuu...Vp mkuu mule mule sio[emoji1][emoji1][emoji1]
Zuhura,Anna,Hilda,Felister,Marry mkafie mbele
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahaaaaaaaaa huu uzi umesema ni jina gani lakini watu wameamua kusindikiza jina na tusi juu[emoji3] [emoji3]
Ahaaa jf pangekuwa na option kutuma voice watu wange tiririka sana mkuuHahaaaaaaaaa huu uzi umesema ni jina gani lakini watu wameamua kusindikiza jina na tusi juu[emoji3] [emoji3]
Acha kabisaPole best!!! Sipati picha.
Thubutuuuumbona hilo Jina wanajulikana kwa upole??
Oya wote hawa wamekuumiza au umewaumiza????? Mbona wengi ina maana we kila siku unaumia tu?????Janet,salma,halima,pendo,swaumu,neema,careen,maureen,sikujua,suzi,eliza,irene,cecilia,hilda....Dunia njia
Weeee tafadhali uyu mdogo wangu adella amekufanya niniADELA HUYU NI MJINGA WA MWISHO TULIANZA MAPENZI NIKIWA LOFA AKAJUA NDIO MAISHA YANGU. Kanikimbia Leo anitaka wakati yuko scrape
Aroooo baba Pole sanaDuuh akina jackline wametisha sana,
Ila Neema! neema! neema! wewe ni kiumbe wa ajabu sana, ulinionesha mapenzi hata shetan aliyaogopa, but haurudhiki neema unachit lkn unajitia mtakatifu sana na kila wakati unalia machozi kana kwamba wewe ndie unaonewa. sintosahau siku ile nimebahatisha password ya simu yako. Natamani hata nisingeifungua simu yako siku ile maana kwa jinsi nilivyokuamini na kutamba mtaani duh! aisee Neema wewe sintokusahau ninaamini uliniroga si bure, maana hata nilipokufumania ulikataa katu katu na kujifanya umezirai kumbe naibiwa mie. Ila sawa mungu ndo muweza wa yote na ada niliyokulipia cerificate na diploma pale UCC nilishasamehe. ILA SINTOKUSAHAU!
Acha mkuu .....ni two years ago...... Eti this time anataka turudiane daaaaaah acha tuDah pole ...erick atakua anatapatapa kwa sasa ..hadi ulikunyww sumu.?
Ok mshtuko wako kwa hilo jina umenishtuaHapana mkuu...