Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

yaelekea wewe ni mrembo sana dada?maana hata akina Ivanka Trump waliishachwa


sina hat urembo mkuu ! ila kweli sijawah achwa ! au kulia mapenzi hapana !kabla hujafikiria kuniacha mie nishakuacha zamaniiiiiiiiiiii
 
sabina mtoto wa kingoni alinipa uzoefu wa kusalitiwa toka nipo shule ya msingi, since then nimekuwa harsh sana kwa wanawake kiasi cha kuonekana waajabu

Mkuu umeanza hizi mambo toka primary? Huyo alikua mtoto wa polisi?
 
vichocheo vya mapenzi mwilini vilinivamia mapema sana na hata huyo demu utundu aliuanza mapema pia

Hahahaaa sie wengine tumeanza haya mambo tupo kwenye ajira. Ndio maana sina wa kumtaja jina wala sitegemei kutajwa.
 
Aliondoka kwa mbwembwe lakin hakujua kuwa malipo hapahapa tena naskia kila sku anaachwa maana laaana nilizompa sio za nchi hii ni za kichina kabisa
Muombeee mema mwenzako
 
Eliza ulihamia shule kwetu ukiwa form two mim form three, nikakupenda ukanipenda, nikawa nakupa upendeleo kwa kila ktu hata ukiandkwa swahili speaker jina lako nalifuta kwa kuwa nilikuwa kiongoz. Nakumbuka ww ndo ulikuwa wa kwanza kunifunza mapenzi. Daah et ukaja niacha kwa jamaa aliyekuwa chuo UDSM enz hzo.....niliumia sana nikakuahid lazma ntafka Udsm ... jamaa alikuacha na ukazalishwa ovyo ,halafu unataka turudiane dadeeek
 
Huu uzi kwa tathimini wanaume ndo mnalalamika sana kutendwa na wanawake....kwani wanawake hamtendwi au vichwa ngumu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…