mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
Tafuta hela babu hata uzeeni atakuogopaAhsante brother
Yaani sababu naishi maisha ya kuhustle ndo kanikimbia huyo mbwa
Nasema iko siku picha zake za uchi nitasambaza whatsapp
Baba ulichezea ngumi kadhaa kisa mamiloo?Salima mpaka nimekuwa kibogoyo for you
Rejea kile kibao cha diamond muzika neema kitakuliwaza kidogokudadeki Neema pokea
Au yule wa tandika mtoto wa kitangahahahaaaa mkuu huyo Arafa ni wa wapi.......mbona kama namjua
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mtu kanitaja humu, nakat yeye ndo alinisaliti. Na mimi nasema mbweha mkubwa wewe,mweusi kama ukuta wa jikoni, demu gan unakula sahan nzima ya ugali kama ulizaliwa mashine.
Wote wako dah![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Janet,salma,halima,pendo,swaumu,neema,careen,maureen,sikujua,suzi,eliza,irene,cecilia,hilda....Dunia njia
Wew ulikuwa Malaya kuachwa haki yakoWe kiboko wote hao
Levina tabia ya uleviLevina, jamanniii,