Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Unajua bana ujinga wa kenge ni ule mvua inanyesha yeye anakimbia kwenda kwenye maji(sijaongelea kitaalam lakini)

sasa huyu Elizabet ni kenge na ni mjinga wa pili kutoka mwisho aisee popote ulipo Eliza Mungu anakuona malipo ni hapa hap duniani!!!
 
Peter nikisikia jina lako kuna hali fulan napata,kichefu chefu sio kichef chefu,kutapika sio kutapika,yaaaaani[emoji23][emoji23][emoji23]kwanza tukikutana barabaran badlisha njia nsije nikakulenga na mawe bure unipe kesi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona wanaume tu ndo wengi wanalizwaa..!?? Sema wanaume wengi kabla hujatendwa unapenda mpaka mwisho...sasa ukishapata funzo mojaa ni Umalaya tu unafata...!

So far Irene na Lucy wakiongozwa na Jack wametisha sana... Japo demu angu wa sasa Anaitwa Jack..
 
Anaitwa stelah matutu nlikutana nae wakati nipo musoma kikazi nilikuwa Pahala nakula nikamuona akimusimulia story yake muhudumu nilimuonea huruma nikamnunilia plate akatuliza njaa
sina hakika kama ni Stelah matutu ninaemjua mkuu!!
 
mhh, mpe moyo robo na robo tatu nyingine baki nayo mwenyewe usijejuta maana hawaaminiki na ni kosa kubwa sana kuwaamini hawa viumbe wapo vice versa sana!!1
 
pole sana mkuu, hiyo ya kufumania halafu anazimia mwisho wake ulikuaje??
 
we jamaa unalia lia tu..eti ulikuwa mwaminifu sana....hahah mwanaume unakuwaje na kademu kamoja tu ndo mana alikutenda vilivyo
 
1.Anna Dar
2.Anna..
3.Grace Kr
4.Grace
5.Farida..
6.Glory
7.Rose
8.Eliza
9.Flora
10.Vaileth
11.Aghata
12.Neema
13.Teddy
14.Marry
15.Teddy
16.Zenaice
17.Emiliana
18.Vicky
19.Vicky
20.Blandina
21.Riziki
22.Esta chuga
23.Salome
24.Priscer
25.Jully
26.lightnec
27.Irene
28.Brenda
29.Pascalina
30.Sesilia
31.Eliza
32.Jacky
33. Haika
34.Beatrice
35.Hekima
36.

Maisha bana
 
ni mkweli kuna wadada wachache wanaofanya hivyo sababu ya kutendwa pia lakini nakataa kufikiri kwamba wote wanaofanya hivyo walianza wote kutendwa kwanza, wengi ni tabia tu aisee .......cha msingi ni kuangalia tu ni jinsi gani tutaishi nao kwa akili maana hata dini zetu ndivyo zinavyotufundisha linapokuja swala la mahusiano na ndoa!!
 
dah,,,,,,kweli mapenzi upofu, yaani kuna kazi nyingi ofisini mtu aende asubuhi na alale huko huko mpaka kesho yake wewe uliona ni sawa????
 
yaelekea wewe ni mrembo sana dada?maana hata akina Ivanka Trump waliishachwa
kaka sio wadada wote wanaachwa sabab sio warembo (wazuri) hujawahi kukuta jamaa ana dem mkali hatari (kaumbika kweli kweli) halafu hamtaki hata kumuona wakati wewe unatamani kupata hata dakika 5 tu za kupiga nae story, nadhani ni bahati ya mtu tu na aina watu anaokutana nao!!!
 
Tabia ya mtu kumtenda mtu mwingine!!! Daaah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…