Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Ohoo mmeanza kutaja majina yanayogusa wengine sasa!

Mkuu tafadhali usitingishe hali zetu kwa kumbukumbu zako. [HASHTAG]#sitakiKumbukaZAMANI[/HASHTAG]
Teh teh teeeeeh!
 
ah ah ah huu uzi huu,,
ila to date,its hard to love serious, grace, Aika,vailet + doreen,bitc* badilike,i could even take a bullet 4 u bhas tu tabia mbofumbofu..wherever karma myt middle fngr u.....
il daah...trusting wrong living organism hurts..
... i 4gv u
 
hadi hapa naona kina neema, jack, lucy, mary wako offside lkn yote kwa yote kuna mbuzi zinaitwa stellah acha kabisa '" nilikuwa na mchumba wangu eeee tulipendana kama nyama choma alibahatika kwenda ng'ambo" huu wimbo huwa nikiusikia
.
ah ah ah acha kabisa,,ao mbuzi ni kitolayeyo afu masaa 24 mbuzi izo znaigiza over bongomuv
 
Duuh pole mkuu au kuna kaukweli kuhusu wasabato nini maana nami nilikua na huyo kaka wa kisabato ni mstaarabu aisee ila sijui tu akaniletea visavisa kumbe kampata msabato mwenzie, inauma ila ndo hivo maisha lazima yaendelee
Inawezekana maana baada ya kunizingua akapata mjamaa msabato mwenzake. Mchizi ni muhun mpaka anasimamishwa kusemwa kanisanj, dada alikuwa akimshauri lakini yeye kichwa maji. Hopefully karma is stinging her like a bitch!
 
[emoji23] [emoji23] pole
 
Reactions: Gru
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…