Jina la sasa la Twitter" X" lina utata sana

Kuna siku niko kwenye dalala pembeni yangu alikaa father mmoja hv wakati nataka niperuzi X wakati inataka ifunguke ikawa inaonekana ile herufi X pale juu alinikata jicho hilo..alijua sijui ni mambo ya kikubwa
Vitu vya wakubwa hivyo ikionekana tu X kwenye mitandao ya kijamii lazima ahisi kuna jambo zito linakuja
 
Ni bora ingekuwa bidhaa hizi za kushikika atleast ingepunguza ukakasi ila mtandao wa kijamii hapo ndio magumashi zaidi
 
Ni bora ingekuwa bidhaa hizi za kushikika atleast ingepunguza ukakasi ila mtandao wa kijamii hapo ndio magumashi zaidi
ni utata, zile picha mbaya za ngono tunazita picha za X, sasa ukisema picha x ni utata mtupu, ama za ngono au za mtandao wa X. Angalia sentensi hii, "natazama picha za x kwenye mtandao wa x, ni utata mtupu
 
Sasa mitandao ni mingi mpaka haijulikani. Hiyo ilianza mwaka gani

Baada ya Twitter hii kumfungia Trump akiwa Rais kuelekea uchaguzi alioshindwa ati kuwa analeta taharuki.

Waajariwa kwenye huu aliwachukua huko huko Twitter kuja kusuka huu wake ki Melo Melo ..
 
Kumbuka elon ana Space X kabla hata kununua twitter, anapenda hata product zake kuwa hivyo.
 
Ba

Baada ya Twitter hii kumfungia Trump akiwa Rais kuelekea uchaguzi alioshindwa ati kuwa analeta taharuki.

Waajariwa kwenye huu wake aliwachukua huko huko Twitter kuja kusuka huu wake ki Melo Melo ..
Aisee
 
Unamzungumzia Musenge Mukuma diplomat wa Zambia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…