Jina unalotumia JF unaweza kumpa mtoto au mjukuu wako?

Jina unalotumia JF unaweza kumpa mtoto au mjukuu wako?

Utasababisha mtoto ajione ana mzazi fal,a kinyama yaani.

Pia inaweza kupelekea mtoto kujinyonga kwa aibu ya kuchekwa na wenzake.

Tujitahidi kuwapa watoto wetu majina ya asili zetu sio kushoboka na majina ya wazungu/waarabu.
Umefika mbali sana

Kwa akili yako ya kawaida kabisa Busu la Kenge ni jina la kuita mtoto?? Angalieni jukwaa basi kabla ya kutema cheche
 
Back
Top Bottom