Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,400
Hata ingekua wewe ungeweza kumuita mtoto wako inamankusweke ?
Hilo lipo kama jina la kispanish la wale wapoganiji mieleka wa ki mexicoNi jina la ukoo
Italeta mkanganyiko!Kuwa anaweza asiwe mwalimu kama wewe! Ila jina kama jina na taaluma havihusiani
Hahahaha achukue kila kitu bwanaWee mzee wa hall V, plz asichukue na tabia zangu.
Ila achukue Akili na ufahamu wangu. Atatisha sanaa.
Bora umeongezea namba hapo mbele mkuu😂😂😂Dah ! 😅😅 hawajui hili ni jina kabisa la watu
😅😅 raia wanazingua, ndio maana watu wanabadilisha majina yao wakiwa wakubwaBora umeongezea namba hapo mbele mkuu😂😂😂
Itakua mitaa aliyokulia haina maneno maneno sana, mitaa ya utulivu si unajua... So ndio maana mwanetu dosho hajakutana na karaha hadi kufikia hatua ya kulikana jina lake😂😂😂...Hajawahi hata kusikia kidosho yule 😂😂
Aah ukubwani ukitaka usibadili jina kua na mtoi mpe jina zuri ili uitwe baba fulani😂😂😂 msala unamuachia yeye huko shuleni kwao sasa.😅😅 raia wanazingua, ndio maana watu wanabadilisha majina yao wakiwa wakubwa
Mitaa ya vioo😂😂Itakua mitaa aliyokulia haina maneno maneno sana, mitaa ya utulivu si unajua... So ndio maana mwanetu dosho hajakutana na karaha hadi kufikia hatua ya kulikana jina lake😂😂😂...
jina la utani hiliKwanini usimuite mbona wewe unajiita hivyo
Hiyo Kila kitu huwa ni poa tu😂😂Mitaa ya vioo😂😂
Yeah asili yangu ni mexicoHilo lipo kama jina la kispanish la wale wapoganiji mieleka wa ki mexico
Uta sikia kaka huyu hapa mchokozi😂Hiyo Kila kitu huwa ni poa tu😂😂
😅😅 Hili sio jina langu la kwwnza, ni jina la ukooAah ukubwani ukitaka usibadili jina kua na mtoi mpe jina zuri ili uitwe baba fulani😂😂😂 msala unamuachia yeye huko shuleni kwao sasa.
Sawa.Mkuu...kwa hilo povu wewe ndio ulitakiwa utake it easy
Na utasngaa wengi walikua wanamuambia ako na very interesting name😂😂😂Uta sikia kaka huyu hapa mchokozi😂
Mkuu umeanza kujikataa mdogo mdogo sasa😂😂😂😅😅 Hili sio jina langu la kwwnza, ni jina la ukoo
Uta sikia toto iko na jina zuri hii 😂 😂Na utasngaa wengi walikua wanamuambia ako na very interesting name😂😂😂