Jina unalotumia JF unaweza kumpa mtoto au mjukuu wako?

Jina unalotumia JF unaweza kumpa mtoto au mjukuu wako?

Utasababisha mtoto ajione ana mzazi fal,a kinyama yaani.

Pia inaweza kupelekea mtoto kujinyonga kwa aibu ya kuchekwa na wenzake.

Tujitahidi kuwapa watoto wetu majina ya asili zetu sio kushoboka na majina ya wazungu/waarabu.
Hawezi kumuona hivyo unavyofikiria watoto wa siku hizi wanapenda majina unique na ya kibabe tofauti na kizazi chenu mnapeana najina ya waarabu na wazungu tena ya kwenye vitabu
 
Back
Top Bottom