Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Kwamba mimi ndo nakuwa baba au??Mbona unyama sana 😂😂
Mama na baba Busu la Kenge 🙌
Kwamba mimi ndo nakuwa baba au??Mbona unyama sana 😂😂
Mama na baba Busu la Kenge 🙌
Ukitaka unakuwa tuuu 😂😂Kwamba mimi ndo nakuwa baba au??
adriz, Selikavu dogo kaamua kuchokoza 😂dosho12 ni jina halisi si la kutunga ukitoa hiyo namba hivyo naweza kumuita mwanangu dosho,
Jina nnalo lipenda humu huwa ni Shadeeya
Wakiume namuita Muimba SINGELI 😅
Owa kaka unagusa hati miliki za watu🤣🤣🤣dosho12 ni jina halisi si la kutunga ukitoa hiyo namba hivyo naweza kumuita mwanangu dosho,
Jina nnalo lipenda humu huwa ni Shadeeya
Wakiume namuita Muimba SINGELI 😅
Anamtafuta Sheikh atoke mafichoni😃😃
siku hizi shekhe adriz ana tembea na gun yake, haulizi sana 😂Anamtafuta Sheikh atoke mafichoni😃😃
Dosho kwa enzi zetu kulikua na neno udosho... Utaskia embu acha udosho au hayo mambo ya kidosho😂😂😂dosho12 ni jina halisi si la kutunga ukitoa hiyo namba hivyo naweza kumuita mwanangu dosho,
Jina nnalo lipenda humu huwa ni Shadeeya
Wakiume namuita Muimba SINGELI 😅
Mambo ya kidosho si ndo udada 😂Dosho kwa enzi zetu kulikua na neno udosho... Utaskia embu acha udosho au hayo mambo ya kidosho😂😂😂
😅😅 Maana yake ni nini kakaDosho kwa enzi zetu kulikua na neno udosho... Utaskia embu acha udosho au hayo mambo ya kidosho😂😂😂
😅😅 napenda jina tu kaka, mbona mnanitaftia kifoNi chuma tuu😃😃
Ndio hayo mkuu😂😂Mambo ya kidosho si ndo udada 😂
Udosho ni udada fulani hivi... So ukiskia yule nae ako na tabia za kidosho basi jua ako na tabia za kike kike😂😂😂... Sijui hata ulianziaga wapi huu msim ila ulitumika sana kipindi cha jakaya hapo.😅😅 Maana yake ni nini kaka
Dah ! 😅😅 hawajui hili ni jina kabisa la watuUdosho ni udada fulani hivi... So ukiskia yule nae ako na tabia za kidosho basi jua ako na tabia za kike kike😂😂😂... Sijui hata ulianziaga wapi huu msim ila ulitumika sana kipindi cha jakaya hapo.
Hajawahi hata kusikia kidosho yule 😂😂Udosho ni udada fulani hivi... So ukiskia yule nae ako na tabia za kidosho basi jua ako na tabia za kike kike😂😂😂... Sijui hata ulianziaga wapi huu msim ila ulitumika sana kipindi cha jakaya hapo.
😅😅 Huku usukumani hakuna hayo majinaHajawahi hata kusikia kidosho yule 😂😂
ha ha yaani nimwite mjukuu wangu fimboyaukwaju?Je utambulisho wa jf unaweza kumpa mtoto wako au mjukuu kama jina rasmi kwake?
Binafsi nikipata mtoto wa kiume nitamuita Kazanazo