Hawezi kumuona hivyo unavyofikiria watoto wa siku hizi wanapenda majina unique na ya kibabe tofauti na kizazi chenu mnapeana najina ya waarabu na wazungu tena ya kwenye vitabuUtasababisha mtoto ajione ana mzazi fal,a kinyama yaani.
Pia inaweza kupelekea mtoto kujinyonga kwa aibu ya kuchekwa na wenzake.
Tujitahidi kuwapa watoto wetu majina ya asili zetu sio kushoboka na majina ya wazungu/waarabu.
Wa kike au wakiume?Mtoto wangu nitamuita Busu la Kenge
Hatarifikiria kabisa mwanangu nimeuite EvilSpirit dah itakua noma sana mtaani
Wee mzee wa hall V, plz asichukue na tabia zangu.
Wowote tuuu atakutana na hilo jina atake asitakeWa kike au wakiume?
Mbona ni jina zuri tu πHapana
Usiwaze mkuu take it easy.
Mbona ni jina zuri tu π
Najaribu kuwaza Joanah uitwe Busu la Kenge
π π Nimeacha..!! Ila ujuwe ukimwita mwanao Busu la Kenge, sisi huku kitaa tutakuita mama Busu la KengeAcha basi π€£π€£
π π Nimeacha..!! Ila ujuwe ukimwita mwanao Busu la Kenge, sisi huku kitaa tutakuita mama Busu la Kenge