Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Kwamba mimi ndo nakuwa baba au??Mbona unyama sana ππ
Mama na baba Busu la Kenge π
Ukitaka unakuwa tuuu ππKwamba mimi ndo nakuwa baba au??
adriz, Selikavu dogo kaamua kuchokoza πdosho12 ni jina halisi si la kutunga ukitoa hiyo namba hivyo naweza kumuita mwanangu dosho,
Jina nnalo lipenda humu huwa ni Shadeeya
Wakiume namuita Muimba SINGELI π
Owa kaka unagusa hati miliki za watuπ€£π€£π€£dosho12 ni jina halisi si la kutunga ukitoa hiyo namba hivyo naweza kumuita mwanangu dosho,
Jina nnalo lipenda humu huwa ni Shadeeya
Wakiume namuita Muimba SINGELI π
Anamtafuta Sheikh atoke mafichoniππ
siku hizi shekhe adriz ana tembea na gun yake, haulizi sana πAnamtafuta Sheikh atoke mafichoniππ
Dosho kwa enzi zetu kulikua na neno udosho... Utaskia embu acha udosho au hayo mambo ya kidoshoπππdosho12 ni jina halisi si la kutunga ukitoa hiyo namba hivyo naweza kumuita mwanangu dosho,
Jina nnalo lipenda humu huwa ni Shadeeya
Wakiume namuita Muimba SINGELI π
Mambo ya kidosho si ndo udada πDosho kwa enzi zetu kulikua na neno udosho... Utaskia embu acha udosho au hayo mambo ya kidoshoπππ
π π Maana yake ni nini kakaDosho kwa enzi zetu kulikua na neno udosho... Utaskia embu acha udosho au hayo mambo ya kidoshoπππ
π π napenda jina tu kaka, mbona mnanitaftia kifoNi chuma tuuππ
Ndio hayo mkuuππMambo ya kidosho si ndo udada π
Udosho ni udada fulani hivi... So ukiskia yule nae ako na tabia za kidosho basi jua ako na tabia za kike kikeπππ... Sijui hata ulianziaga wapi huu msim ila ulitumika sana kipindi cha jakaya hapo.π π Maana yake ni nini kaka
Dah ! π π hawajui hili ni jina kabisa la watuUdosho ni udada fulani hivi... So ukiskia yule nae ako na tabia za kidosho basi jua ako na tabia za kike kikeπππ... Sijui hata ulianziaga wapi huu msim ila ulitumika sana kipindi cha jakaya hapo.
Hajawahi hata kusikia kidosho yule ππUdosho ni udada fulani hivi... So ukiskia yule nae ako na tabia za kidosho basi jua ako na tabia za kike kikeπππ... Sijui hata ulianziaga wapi huu msim ila ulitumika sana kipindi cha jakaya hapo.
π π Huku usukumani hakuna hayo majinaHajawahi hata kusikia kidosho yule ππ
ha ha yaani nimwite mjukuu wangu fimboyaukwaju?Je utambulisho wa jf unaweza kumpa mtoto wako au mjukuu kama jina rasmi kwake?
Binafsi nikipata mtoto wa kiume nitamuita Kazanazo