Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

Nani kasema kutompa mtoto jina la kwao ni utumwa...kitendo cha kua aware kwamba unawaza hiyo ideology tayari wewe ni mtumwa
 
Kijana wangu wa mwisho nilimuita jina lenye asili ya igbo-nigeria baada ya kukutana na jamaa mmoja kutoka huko
Alizaliwa mwezi mmoja baada ya kifo cha wazazi wangu(sababu ya uzee)
Nikamuita
KAYODE
Means "He has brough us joy"
 
1.
 
Ntanzimela Jina lina asili ya Katavi maana yake mtu wa majigambo au mtu anaye tamba.
Taslima
 
Chobweda/ kubweda....maana yake tumepata(Kizaramo hicho)
Ntekaniwa amepiganiwa (Kipare)
Ruwahichi Mungu anajua (kichaga)
Masinde manguvu (Kichaga)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…