Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

Ni kweli!, hiyo ndio kazi yangu!.
P.

Duuh sasa Mheshimiwa Pasco ina maana unavyokubali hivyo unaona sifa au ni ujanja? Haifai namna hiyo kaka, jirekebishe maana wewe ni mtu wa karibu sana na Rais mtarajiwa. Haya nakwacha mimi uendelee na kazi yako ya kudhalilisha wanawake.
Shukran.
 
Last edited by a moderator:

Sii kweli kuwa mimi ni mtu wa karibu na rais mtarajiwa!,
asante, naiendeleza mpaka hapo nitakapo ajiriwa kazi nyingine!.
Pasco
 
Mkuu Punjabi Singi, kama hakuna yoyote humu aliyewahi kukueleza kuwa una matatizo, naomba mimi niwe wa kwanza kukujulisha rasmi kuwa, Mkuu Punjabi Singi una matatizo!.

Maadam ndani ya uzi huu nimeishakubali sasa ni heshima na adabu, sitakuambia matatizo yako humu, ila tukikutana uzi mwingine, labda nitakueleza!.

Pasco

Poor boy Pasco! Ind

eed matatizo iko with people who molest women, people who stereotype the feeble kind people who show machoism but in reality are those who bend their tail and yap when connered and exposed.

Did you not cry for mercy when those tou called Madrasa boys threaten an exposee to your other half?

I hope the mods have not deleted that thread because there was an extensive discussion and you were like MC on the wedding day arrogantly praising how Sukumas are good at sex and how you enjoy being like a cockerel and a chicken runner in the farm.

Indeed you cannot reply here because you know my allegation has 100% truth.

I remember one member of JF (the 'madrassa boys'who threatened to take.the issue to the Waman you exposed on JF.

You even threatened one guy from ZnZ that to be aware you will find him since you have ten.days attending Mapinduzi Celebrations depicting yourself as if you are a person of resources and power like a secret service.

You only came down to.your knees when those smart boys threatened your exposal to your second half.

You cannot reply then dont reply because you will just entangle your self into your sins.
 
Kuwa kichaa sio mpaka mtu aokote makopo!, una matatizo makubwa dugu yangu Punjabi Singi ila hujijui!,

pole!.

Pasco
 
Pasco jibu shutuma zako huku? Ni kweli wewe unadhalilisha wanawake? cc Ritz

Hilo halina ubishi, aliingia humu akamuadhiri mtoto wa watu wa kike wa Kizanzibari humu JF. Isitoshe alitukana watoto wa kike wote wa Gerezani na Kariakoo na wazee wao, kisa ni kukosa hoja za kujibu hizi nyuzi za Mohamed Said.

Hasira na hamaki zikampanda akaona hana pakutokea ila kuanza kutukana watoto wa kike wa Gerezani na Kariakoo.

Mimi kishajaribu kunivaa mara chungu nzima lakini hapa kakutana na kisiki. Kama hanijuwi atanijuwa, aende kwa waliomuingiza mjini na anawajuwa nimemtajia huko juu akaulize huyu ni nani? watampa jibu.
 
Last edited by a moderator:
I don see any reason for visiting Fb as long as I hv got ua point,its like this we are not the only race suffered by colonialism...if ua an Asian surely u or ua fathers hv tasted also from British.....

Again,what z important ryt now z not to condemn our fore fathers for failing to use their common sense in eradicating colonialism coz am very sure u know all the reasons for their failure though they had an intention...The best we can do now is to unite ourselves n fighting our weaknesses,eradicating high level of poverty we are experiencing,corruption n so to many other setbaks,fortunately b'se we are now in a cool environments.

This is what actually raised the economy n life standards to the most Americans n Asians....Lets don dwell to the poor n painful past that can't help us in the current problems we are experiencing....

Thanks,

First you need to entangle yourself from writing like brouhaha of nothingness but sheer stupidity. That is what I call mental slavery at its best. Inspiration of worst.
 
Who invited u in my words...had I write for u? We umetumwa naona...haya ngoja nikuache coz nimeshajua una matatizo gani.Pole na matatizo byeeee....
 
Bilulu,
Jitulize usisome hasira zimekupanda kweli mengi yatakupita
utasema hapa jamvini "huoni utabiri."

Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir ulikuwa kama hivi:
Kwanza alimtabiria Nyerere kuwa ni "Mtume wa Afrika," aliyeletwa
na Mungu kuwakomboa Waafrika.

Hili lilikamilika Nyerere alikuja akawa mstari wa mbele kuikomboa
Afrika kutoka kweye ukoloni.

Sheikh Takadir alitabiri kuwa mwisho wa Nyerere na Waislam
hautakuwa mzuri.

Utabiri huu nao vilevile ukakamilika mara tu baada ya uhuru.
Ninazo hotuba nyingi za Sheikh Takadir alizokuwa akitoa katika
kumsifia Nyerere kati ya mwaka 1954 - 1958.

In Sha Allah iko siku nitaziweka hapa tuzijadili.
Historia ya uhuru wa Tanganyika ni historia ya kuvutia sana.

Mtu huchoki kuiisikiliza.

Bado tatizo naliona katika historia hiyo ndo maana nakwambia sioni utabir wowote
Utabir was jinamizi la udini Tanzania... Swali:; N utabr gan alioufanya juu ya udini huyo mzee Takadir????? Nadhan jibu n hakuna zaidi ya yy kuwa ndo chanzo cha kuleta udini..
.** pia historia hii;-
1. imekaa katika kuutetea uislam sana.(udini)
2. Hilo jinamizi la udini kama nilivyokwambia ndo lilianza kuletwa na mzee takadir. Ila tumushuru mwenyezi Mungu kwa hilo kushindikana
3. Pia usilaum mzee Takadir kutosikika katika historia ya taifa hili, hyo n kutokana na mwisho wake kuwa mbaya. Watakao mkumbuka ni wale wanaoutukuza udini na Kumsahau mwenyezi Mungu.

Kataa udini dumisha upendo** Mara nyingi dini zenu ni matokeo ya wazazi wenu....****
 
Hilo halina ubishi, aliingia humu akamuadhiri mtoto wa watu wa kike wa Kizanzibari humu JF. Isitoshe alitukana watoto wa kike wote wa Gerezani na Kariakoo na wazee wao, kisa ni kukosa hoja za kujibu hizi nyuzi za Mohamed Said.

Hasira na hamaki zikampanda akaona hana pakutokea ila kuanza kutukana watoto wa kike wa Gerezani na Kariakoo.

Mimi kishajaribu kunivaa mara chungu nzima lakini hapa kakutana na kisiki. Kama hanijuwi atanijuwa, aende kwa waliomuingiza mjini na anawajuwa nimemtajia huko juu akaulize huyu ni nani? watampa jibu.

Amma kwa hakika huyu &Pasco ni mtovu wa adabu sana kumbe? Duuh kumbukumbu zangu huyu alikuwa Marioo(muuza sura)kwa dada mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi immigration na huyo dada walikuwa wanakaa oysterbay polisi. Wakati huo huyu Pasco alikuwa anafanya kazi ITV.Kama anabisha ajitokeze hapa. Ni aibu kubwa na kujitoa ufaham kwa mtu kujiona yeye ni mstaarabu mwenye heshima na adabu kumbe ni wale wale.
 
Laiti ungelijua!.

Mkuu Jumababu, jina zuri la kiume, tena jina la heshima la babu!, sasa inapotokea dume zima linaleta umbeya humu!, sio mambo!. to set the record clear!, nimebisha na nimejitokeza!.
  1. Sijawahi kuwa Marioo!.
  2. Sijawahi kufanya kazi ITV!.

NB. Mishahara ya serikalini naijua!, mishahara ya immigration pia naijua!, sasa huyo Marioowa mdada wa Immigration sini watakuwa wanagawana tuu umasikini?!.

Pasco
 
Who invited u in my words...had I write for u? We umetumwa naona...haya ngoja nikuache coz nimeshajua una matatizo gani.Pole na matatizo byeeee....

This is an open forum. Kumbuka hilo.
 
This is an open forum. Kumbuka hilo.

Nnalifahamu sana,Ila ungejibu ujumbe wangu kwa heshima tu na adabu ingekuwa jambo jema sana,au ungeacha kucomment pia kwakuwa haukuwa directed kwako,jitahidi kuelewa nlichokuwa namaanisha...

Thanks,
 
Laiti ungelijua!.

Pasco

Nijue nini zaidi? mimi nakuona ni mtu usiyejitambua. Usiyeweza hata kusimamia hoja wala kujibu hoja bila kutukana. Kujidai kuandika kwa mafumbo ukaambiwa "fumbo mfumbie mjinga".

Ukajidai humuhumu kuwa unamjuwa sana Sheikh Suleman Takadir na umemsikia kabla ya kumsoma kwa Al Alama Mohamed Said, nikakwambia haya lete hicho ukijuacho, ukagwaya.

Na unaanza hivyo makusudi ili uharibu mjadala kwa kuwa tu hii historia inakuuma.

Kila mnapoona wazee wa Dar walikuwepo kila sehemu ya historia ya Uhuru wa Tanganyika, nyinyi roho hazitulii, someni basi au kama mnaona wazee wenu wanayo vile vile historia tuleteeni tuisome. Hakuna! badala yake? mnakuja na matusi na kejeli na mafumbo.

Kinawauma nini? si leteni historia muijuayo nyinyi, sisi tunafyonza ilmu humu tufaidike? kinawashinda nini?
 
Nnalifahamu sana,Ila ungejibu ujumbe wangu kwa heshima tu na adabu ingekuwa jambo jema sana,au ungeacha kucomment pia kwakuwa haukuwa directed kwako,jitahidi kuelewa nlichokuwa namaanisha...

Thanks,

Nimekupa darsa la heshima, wewe unajuwa hii ni open forum tena ya historia, unakuja na maandiko kama vile hujuwi kuandika, nimekwambia kwanza anza kujiondoa katika utumwa wa kimawazo kwa kuanza kuandika sawa. Mbona sasa unaandika sawa? Fikiri.

Ficha upumbavu wako, usifiche hekima zako.
 
Mkuu Jumababu, jina zuri la kiume, tena jina la heshima la babu!, sasa inapotokea dume zima linaleta umbeya humu!, sio mambo!. to set the record clear!, nimebisha na nimejitokeza!.
  1. Sijawahi kuwa Marioo!.
  2. Sijawahi kufanya kazi ITV!.

NB. Mishahara ya serikalini naijua!, mishahara ya immigration pia naijua!, sasa huyo Marioowa mdada wa Immigration sini watakuwa wanagawana tuu umasikini?!.

Pasco

Mkuu Pasco usijitoe faham hapa hivi wewe kwa akili zako unataka kutuambia wafanyakazi wote wa serikalini wanaishi kwa mishahara tu? Haya bana Lyidia Maleko anakusalimu sana.
 
Last edited by a moderator:
Nimekupa darsa la heshima, wewe unajuwa hii ni open forum tena ya historia, unakuja na maandiko kama vile hujuwi kuandika, nimekwambia kwanza anza kujiondoa katika utumwa wa kimawazo kwa kuanza kuandika sawa. Mbona sasa unaandika sawa? Fikiri.

Ficha upumbavu wako, usifiche hekima zako.

Pole sana kwa kunyimwa ukuu wa wilaya.
 
Bado tatizo naliona katika historia hiyo ndo maana nakwambia sioni utabir wowote
Utabir was jinamizi la udini Tanzania... Swali:; N utabr gan alioufanya juu ya udini huyo mzee Takadir????? Nadhan jibu n hakuna zaidi ya yy kuwa ndo chanzo cha kuleta udini..
.** pia historia hii;-
1. imekaa katika kuutetea uislam sana.(udini)
2. Hilo jinamizi la udini kama nilivyokwambia ndo lilianza kuletwa na mzee takadir. Ila tumushuru mwenyezi Mungu kwa hilo kushindikana
3. Pia usilaum mzee Takadir kutosikika katika historia ya taifa hili, hyo n kutokana na mwisho wake kuwa mbaya. Watakao mkumbuka ni wale wanaoutukuza udini na Kumsahau mwenyezi Mungu.

Kataa udini dumisha upendo** Mara nyingi dini zenu ni matokeo ya wazazi wenu....****

Ulishamsoma Abdul Wahid Sykes ambae ni muasisi wa TANU katika historia ya Tanganyika? kama ndiyo, naomba tupe reference ya kitabu ulichomsoma.

Umeziona picha hapo juu za Sheikh Suleman Takadir na Nyerere na waliowazunguka, hivi haikujii kwanini hizo picha ziwe hivyo? au ni bahati mbaya au nzuri tu Sheikh Suleman Takadir kuwepo kwenye mikutano wakati wa harakati za Uhuru na hakuwa na role yoyote aliyoicheza?
 
Pole sana kwa kunyimwa ukuu wa wilaya.

Hahahahaha, si fani yangu hiyo. Fani yangu ni zaidi ya ukuu wa Mkoa wacha wilaya.

Jee, umesoma kuhusu Sheikh Suleman Takadir? jee, unajuwa kabla ya mikutano ya TANU akisimama yeye kwanza na kufanya nini?
 
Back
Top Bottom