Spike Lee
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 625
- 272
Mzee Mohamed Said, inatosha Mzee wetu daa!! Ngongo kupambana na wewe ni sawa sawa kuwapambanisha Floyd Mayweather na Francis Cheka.Ngongo,
Hiyo si hoja.
Labda nami nikuulize.
Kwa nini kitabu changu hakisomeshwi Chuo Kikuu cha St. Augustine lakini
kinasomeshwa vyuo vyote Marekani na Ulaya?
Sasa wewe si wa kutoa jibu.
Jibu wacha litolewe na Idara ya Historia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mbona hujagusa matawi ninayokalia?
Yanakutisha?
Hivi unajua kama mimi nimo kwenye list ya Dictionary of African
Biography?
Hivi unajua huu maradi ulikuwa wa Harvard na Oxford Univeristy
Press, New York?
Ikiwa hawa huwajui uliza utaambiwa hawa ni nani katika duru
za kisomi na uchapaji.
Wewe uko kwenye s...list.
Hahahahahahahahahahahah!
Jamani mbavu zangu.
Ngongo,
Niangalie hapa chini:
![]()
Unapajua hapo?
Hapo ni BBC.
Siyo BBC London, Bush House.
Hapana.
Hapo ni BBC Glasgow.
Unajua nafanya nini?
Nafanya kipindi cha historia ya Afrika.
Unajua ni lini?
1991.
Si unaona nilikuwa mdogo.
Kufa kwa roho yako mbaya ya choyo na wivu.
Ati mbona kitabu changu hakisomeshwi Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
My foot!
Usithubutu kurudi na utumbo wako hapa jamvini.
Ndiyo nitakumaliza kabisa.
Ngongo,
Hunijui.
Nataka leo unijue.
Si tu "The Life and Times of Abdulwaid Sykes..." kimepigwa pande
hakisomeshwi hapa nchini.
Nina kitabu kingine kilichochapwa na mabingwa wa uchapaji nacho
vilevile kimekataliwa hakisomeshwi.
Lakini kitabu hiki kinasomeshwa shule zote Kenya na Uganda.
Kitabu hiki kipo katika mradi wa kusomesha Kiingereza shule za
msingi lakini hapo hapo watoto wajifunze na historia za nchi zao.
Kitabu hiki kinaitwa, "TheTorch on Kilimanjaro," Oxford University
Press, Nairobi, 2006.
Mimi siyo bongolala kama wewe.
Ubongo wangu unafanyakazi.
![]()
![]()
Mohamed Seif Khatib Akizindua Kitabu Changu Mbele ya Viongozi wa Wizara ya Elimu Kempisky Hotel Mwaka 2006
Ngongo,
Nimeombwa nibadilishe jina niandike kwa jina lingine.
Nimekataa nimewaambia mimi nitabaki Mohamed Said Salum
Abdallah mpaka siku nitakapoingia kaburini.
Mama yangu Baya Bint Sheikh Mohamed Mvamila alinipa jina hili
kwa mapenzi ya baba yake siwezi kulikana jina la babu yangu kwa
kutaka nikubalike na Mfumokristo.
Ngongo,
Jiulize.
Pana nini hapa?
Last edited by a moderator:
