Sheikh
Mohamed Said wewe kuniweka katika ile s.... list wala sikosi usingizi kamwe laiti ungelijua mimi nimekuweka katika list gani ungekaa kimya.Histohisia zako kuchapwa Oxford University Press,New York... wala si hoja laiti ungelijua wazungu wanatuwazia nini sisi waAfrika usingejitapa katu.Wazungu unaowasifia wanatamani sana kuona Tanzania inaingia kwenye mifarakano ili iwe rahisi kutuibia Dhahabu,Gas,Tanzanite..... watafurahi sana kumpata mchochezi wa udini kama wewe itawarahisishia kuliharibu taifa alilolijenga Mwl Nyerere kwa miongo mitatu.
Ngongo,
Mimi sitachoka kukuonyesha wapi ninapokaa.
Mimi ni mtu wa kileleni.
Alhamdulilah.
Wewe huna hata ubavu wa kunigusa mimi kwa lolote ila kwa chuki, hasad
na nongwa.
Angalia hapa chini wapi nakaribishwa:
PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
1.
The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as
Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
2.
The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi. (Children's book).
3. Contributing author for an African anthology:
The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
5.
Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
6.
In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
7.
Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
8.
Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
9.
The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
10.
Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
11.
The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
12.
Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000' (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003).
13.
Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004).
14.
Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA)Morogoro 11[SUP]th[/SUP] April 2004).
15.
Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006).
16.
Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21[SUP]st[/SUP] Century 1[SUP]st[/SUP] - 3[SUP]rd[/SUP] August 2006, Kenyatta University, and Nairobi.
17. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International (IPCI) Durban.
18. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
19. Awards: Several Awards.
20. Visiting Scholar: (2011)
• University of Iowa, Iowa City, USA
• Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
• Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.
Ngongo,
Wewe uniweke wapi ila ninapostahili.
Na hapo nimewekwa siku nyingi na wajuzi...
Nami nikuweke wewe wapi ila kwenye "s...list."
Wewe huna hoja.
Mimi kuandika kitabu nikaeleza historia ya kuundwa TANU ambayo
haikuwa inajulikana ndiyo imekuwa uchochezi...
Give me a break!
Kama uchochezi mbona kinauzwa maduka yote ya vitabu?
Nenda Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kitabu changu kipo pale.
Au na wao wachochezi?
Au mlidhani mama zetu wamezaa watoto mbumbu hawawezi wakaelimika
na kuja kurejesha heshima za wazazi wetu?
Au mlidhani ile historia ya Kivukoni ndiyo itabakia kuwa historia ya chama
cha TANU?
Ngongo,
Acha kujitisha na acha kuwatisha watu.
Kasome ile hadith ya Aesop ya mtoto aliyekuwa anapenda kulia, "mbwa mwitu
mbwa mwitu..."
Yapo mafunzo makubwa mle.