Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

Mzee Mohamed Said, inatosha Mzee wetu daa!! Ngongo kupambana na wewe ni sawa sawa kuwapambanisha Floyd Mayweather na Francis Cheka.
 
Last edited by a moderator:
Nyie ndiyo mnajiita wasomi ebu jisome ulichoandika hata haueleweki nyie ndiyo mmejazana serikalini unategemea nini.
 
Nyie ndiyo mnajiita wasomi ebu jisome ulichoandika hata haueleweki nyie ndiyo mmejazana serikalini unategemea nini.

Shariff Ritz,
Nichukulie Zanzibar piza moja na lita tatu za juisi ya Bakhresa.
Mimi siondoki hapa namsubiri Ngongo.

Hana habari kuna wenzake walijaribu wamekimbia hawana hamu na mimi?
 
.Hana habari kuna wenzake walijaribu wamekimbia hawana hamu na mimi?
Hata mimi sijui wamekilbilia wapi. Ninajaribu kufikiri tu kidogo huenda wamekimbia kwa sababu hizi
1. Nondo zako zimewakimbiza
2. Huna kipya ni hadithi zile zile
3. Wanataka kusoma kitu na si jinsi mtu anavyoongea na wazungu
4. Wanaogopa kuoga mtoni na watoto,maji yameshavurugwa na huenda wakachafuka na si kutakata
5. Wametoa nafasi uweze kuogelea katika bwawa kwa nafasi, liwe la maji safi au majitaka
6. Pengine si mafundi wa matusi, na hawapendi kunasibishwa na upuuzi huo

Najaribu kufikiri tu, sina uhakika kwa kweli

Shehe, wajulie hali hapo mjini. Pole kwa msiba wa nduguyo Ebby
Huku kwetu machungwa yameanza kidogo kidogo.
Nikijaaliwa nitakutumia kibanda meno,ni mhogo mtamu kwa juisi ya bakhresa.

Masalaam
 

Nguruvi3,
Ahsante ndugu yangu.
Yeye mbele sisi nyuma.

Nasubiri mihogo kaka.
Ntanywea chai asubuhi In Sha Allah.
 

Indeed and well said how ever this cannot come with others are machismos over the others.

You deny to look over there it is denying the the truth like an Ostrich your head buried to the ground.
 
Naona Nguruvi3 umeibuka kutoka chimbo mstuni.

Hahahahahahahahahah
 
Naona Nguruvi3 umeibuka kutoka chimbo mstuni.

Hahahahahahahahahah

Shariff,
Kuna mtu kanambia sijamtendea haki Nguruvi3.
Anasema yeye Nguruvi3 anasema sina jipya.

Sahib yangu anasema nimwambie akachungulie katika zile volume 6 za
Dictionary of African Biography, Oxford University Press New York, 2011
ataniona.

Jamaa anasema mziki huu ni mpya huku kwetu Nguruvi3 hajausikia.
Nashindwa kumzawadia Nguruvi3 hii album kwa kuwa bei yake ni USD 1300.
 
"Islam Is Disability"Na itakuwa EXTINCT SOON Just As Mud And His Clan Did.Watashindana Lakini Hawatashinda.Period
 

Sijajuwa kwa nini hujajiunga na ngumi au utakuwa mcheza kareti mzuri maana kwa kukwepa maswali yanayokulenga

Kwangu sijaona sahihisho hata moja la UHURU wa TANGANYIKA wala hakuna hoja kwakuwa historia ya nchi ambayo kwa bahati nzuri nilikuwepo nikiwa kijana na nilikuwa mzizima naifahamu wala sihitaji hadithi za simulizi mzee na mjukuu

Nilikuwa nakufuatilia nakuona mpiga porojo nadhani siku kukiwa na mdaharo tutafutane juu ya wapigania uhuru wa nchi yetu na malengo yao watu watupime kwahoja nasio hadidhi
 
"Islam Is Disability"Na itakuwa EXTINCT SOON Just As Mud And His Clan Did.Watashindana Lakini Hawatashinda.Period

Way back in 2008:

Vatican: Muslims now outnumber Catholics - USATODAY.com

ATICAN CITY (AP) — Islam has surpassed Roman Catholicism as the world's largest religion, the Vatican newspaper said Sunday. "For the first time in history, we are no longer at the top: Muslims have overtaken us," Monsignor Vittorio Formenti said in an interview with the Vatican newspaper L'Osservatore Romano. Formenti compiles the Vatican's yearbook.

Read: https://www.google.com/search?q=Islam+now+outnumbers+catholics+vatican&ie=utf-8&oe=utf-8

Remember, this is 2015. Beat that!
 
Ah! waungwana faiza Fox Ritz na Mzee Said. Kulikoni maswahiba wangu? Nipo jamvini kila uchao leo naambiwa nimeibuka, yajuzu nini wahisani

Mzee Said kaniwekea maneno kinywani. Mohamed kasema wamekimbia hawaonekani.

Ni kweli hata mimi siwaoni, hapo nikachukua tafakur jadidi nini kimewasibu wenzetu?

Nashangaa anasema nimesema hayo hapo juu.

Hebu angalie niliyosema halafu mniambie wapi nimemyooshea kidole,wapi nimeleta muhali au tafrani

Huu mnakasha unaendelea tunausoma, kama hatuna la kusema kwasababu zozote zile,vema tukajuliana hali.
Imekuwa nongwa waunganwa.

Tafadhalini, rudisheni nyoyo nyuma, kaeni kitako tusikilize simulizi, tufyonze ilm ya ngano. Ndiyo maarifa hayo

Stareh ya mnakasha watu, wenzetu mwavuta jamvi upande wenu!

Kama yapo mapya, khairi tuyaongee kama hakuna masalaam.
 

Nguruvi3,
Hakika umebadilika sana.

Sioni ile lugha niliyoizoea.
Sasa hivi unakuja kwa utaratibu.

Lugha safi yakupendeza.
Lugha safi ya kuvutia.

Ngano?
Ila hili.

Oxford University Press...
Tena si Nairobi.

Hawa ni New York.
Wakishirikiana na Chuo Kikuu cha Harvard.

Wamtafute Mohamed Said awaandikie ngano?
Ila hilo.

BBC wampe kibarua Mohamed Said azungumze na Afrika...
Aje azungumze ngano?

Ila hili.
 
Ngongo baada ya kuambiwa walikuwepo wengi wengine, kaingia mitini.

Eti kaibuka Nguruvi3 full of sympathy!

Kwi kwi kwi teh teh teh.

JF is never boring - The Boss

FF,
There is never a dull moment with JF.
Jamani mimi nimekesha hapa namsuburi Ngongo.

Nacheka sana.
Zamani walikuwa wanadhani wakiniita mzee nitakasirika.

Nikawa nawaambia hayo si mafunzo yetu.
Uzee hushukuriwa.

Sasa naona wananiona kuwa nilikuwa kijana tena wa maana...niko Ulaya.
Ndani ya designer kutoka Oxford Street...

Blazer...
Yves Saint Laurent.
Usiulize suruali...

Tuiruke...

Kiatu...
Cartier.

Siongopi...
Hivyo ndivyo ilivyokuwa.

Asiyejua hivyo ni vitu gani amuulize mdogo wangu Faiza.
 

Mazoko,
Ndiyo uzuri wa dunia.

Ikiwa wewe hukuona upungufu wako walioona upungufu.
Kama waliona upungufu wana haki ya kufanya masahihisho.

Wewe pia una haki yako ya kutoona huo upungufu.
Hakuna shida.

Tusonge mbele.
Hayo ya karate nk. ni lugha za kijuvi.

Hazipendezi.
 
lol!!!! hahahahahah Umenifurahisha sana Mkuu nguruvi ahsante sana.

 
Last edited by a moderator:
kweli mkuu. ila tufikirie kitu kama movement za uhuru zingekuwa maeneo ya bara wengi wangekuwa watu gani?, pili ukombozi ulikuwa ni wa watu wote wa tanganyika kujikomboa kutoka kwenye ukoloni, haukuwa ukombozi wa kidini, inamaana kama Takadir angeeneza dini kwenye siasa za ukombozi basi kungetokea mpasuko ambao ukombozi ungekuwa mgumu. Mi nadhani uwamuzi wa kumfukuza kwenye chama sababu ya kuleta dini kwenye siasa ilikuwa ni wazo zuri sana ambalo lumetuunganisha mpk leo tunapoanza wenyewe kujigawa. ingelikuwa vita ya pwani na bara na sio na mkoloni.

hatua moja mbele, hujungwa na hatua moja nyuma,
 
Fered,
Umesema sawa.

TANU ilikuwa na haki ya kumfukuza Sheikh Takadir kwa kuleta suala
la dini.

Je ikiwa hii leo kuna malalamiko ya kuwa kuna watu katika kuendesha
nchi ni wadini na ushahidi ukatolewa tunafanyaje?
 

Heshima kwako mwandishi wa makala hii, hakika nilikuelewa hapo awali kwa makala hii japo siyo siri kwa makala kama hii itasababisha mgawanyiko na chuki za kidini hasa ukizingatia kuwa mwisilam kwa asili hampendi mkristo na ndiyo maana humwita kafiri wakati mkristo humpenda mwislam kwakua ukristo huhubiri juu ya upendo na amani kwa watu wote.
Bila shaka nimekuelewa sababu zilizosababisha waislam wasiwe wengi kwenye uongozi wa wakati ule ni kukosa sifa na si kwamba walibaguliwa kama Takadir alivyodhani, nilitegemea wewe ungetoa mtazamo wako juu ya kile kilichofanyika je ilibidi wakate kugira au kupigiwa kura wote kwa ujumla wao? Je nikweli walibaguliwa kwa sababu ya dini zao? Japo kwa upande wa waingereza sina shaka kuwa walikuwa na ubaguzi wa kidini lakini je nyerere alitumia vigezo vya kidini katika kumbagua Takadir? Huhisi nyerere alikuwa sahihi kukemea udini na huwenda angeruhusu agenda ya udini itawale huwenda uhuru ungechelewa? Na pengine wakristo wangenufaika kwa udini kwakua waingereza ni wakristo?
Sina shaka kuwa wapigania uhuru wengi ni waislam na hii nikutokana na mahali walipokuwa yaani DSM.
Nahisi kwa makala za namna hii huweza chochea chuki ya udini hasa kwa watu wenye hisia za udini mioyoni mwao hivyo ningekushauri uwe unatoa historia lakini ukihitimisha kwa kupinga udini maana utalipeleka taifa hili mahala pabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…