Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir


Sidhani kafiri ni chuki au tusi. .. ni jina tu tunalo muita yeyote asiye muislam. ..

Mara nyingi ukweli huwa ni mchungu. ..
 

Ngongo,

Mkuu usitafute mchawi mpaka kufikia kutusi watu kuwa wanatamani au hata kukutakia mabaya.

Siku zote mabaya mnajitafutia wenyewe, Chukulia mauaji ya albino je kuna mkono wa mgeni hapo?

Kwa Tz ikiwa salama wageni ndio wanapenda sana kwani NDIO WANACHUKUA KIULAINI SANA bila bughudha huku wakiwalambisha misaada midogo midogo.

Chuki, Husda na choyo zenu wenyewe wa Tz ndizo zitakazowaangamiza LAKIN Histori itabaki na kubainisha ukweli umesimama wapi.

Kumbuka kuwa huwezi kuificha au ku-ignore historia kwani historia ni kama pembe la ng'ombe huwezi kulificha.

Pole sana Daktari mwenzangu.

 
Sam8,
Ahsante kwa nasaha zako hizi.

Nina hakika umesimama hapo ulipo kwa kuwa hujui historia yote
ya kupigania uhuru wa Tanganyika.

Waislam walimpiga vita Sheikh Takadir kwa kuwa walijua hatari
ya maneno yake.

Waislam walijitolea sana katika vita ile wakitaka uhuru upatikane
ili waondoe dhulma zote.

Uhuru ulipopatikana hili halikuwa.

Sitaweza kukueleza hapa kwa mistari michache nini kilitokea.

Niliamua kuandika kitabu kuwakumbusha viongozi wetu historia
yetu ambayo kwa kweli ni historia ya wazee wangu ambayo hadi
pale ilikuwa imefunikwa.

Tafadhali soma kitabu changu, "The Life and Times of Abdulwahid
Sykes..." uone nini nimesema.

Baada ya hapo unaweza ukawa katika hali ya kutoa mawazo na
kunasihi.

Nina hakika hutowanasihi wanaodhulumiwa...
 
Sidhani kafiri ni chuki au tusi. .. ni jina tu tunalo muita yeyote asiye muislam. ..

Mara nyingi ukweli huwa ni mchungu. ..

Ok nashukuru mkuu lakini naomba unipatie maana halisi kisha nitajua ukweli wa hayo uyasemayo.
 
Kuna upotoshaji umeandika unasema kiasili Muislam hampendi Mkirsto siyo kweli hizo ni fikra zako.

Waislamu na Wakirsto wanaishi kwa upendo mie binafsi na marafiki wengi Wakirsto kuliko Waislam.

Uislam ni dini ya haki na upendo tumefundishwa kuwapenda watu wote bila kuwabagua hata kama siyo Waislam.
 
Ok nashukuru mkuu lakini naomba unipatie maana halisi kisha nitajua ukweli wa hayo uyasemayo.
Soma hapa kiduchu.
Kafir-(Arabic:-كافر‎-kāfir, plural-كفّار-kuffār) is an Arabic terms used in an-Islamic-doctrinal sense, usually translated as "unbeliever," "disbeliever," or "infidel." The term refers to a person who rejects or disbelieves in the-god of Islam-or who hides, denies, or pays no attention to the Islamic version of truth. The practise of declaring another Muslim as a kafir is-takfir.[1]
 

In the Qur'an people might think these contradict each other by leterary meanings, however in the deepest interpratation of the verses you will find they represent different scenario:

Surah Al-Maeda, Verse 51:
O you who believe! do not take the Jews and the Christians for friends; whom they are Allies of each other; and whoever amongst you takes them for a friend, then surely he is one of them; surely Allah does not guide the unjust people.

Surah Al-Maeda, Verse 82:
Certainly you will find the most violent of people in enmity for those who believe (to be) the Jews and those who are polytheists, and you will certainly find the nearest in friendship to those who believe (to be) those who say: We are Christians; this is because there are priests and monks among them and because they do not behave proudly.

The substance of Verses 51 and 82 is where the believers are told to identfy their real enemies (Jews and the polytheist alike) and also to identify their real allies in their life time and during persecution.

Now from vs 51 we find that the real enemies of the believers are those who have enemity in common and in Alliance to each other (modern time Judeo-Christian-Zionists).
And in the v82 we find that the belivers are told who will be their real allies in case of such enemity situation it will be those who are Christians who are not in such alliance do not represent such ideology.
And V82 has gone further to identify the reason as the learned truth seekers, the Priest & the Monks of knowledge of the truth, whom does not have enemity with the belivers; in modern day times are the Eastern Christian Orthodox Church.

And look what is happening now in Nothern Syria na Iraq the the Jewish-Christian Alliance killing machine The ISIL is en masse murdering those who knows the truth!!
 
Wanaukumbi,
Namtafuta Ngongo toka jana sijamuona.

Mfikishieni salaam kwa yeyote atakaemtia machoni kuwa vile vilikuwa
vishindo vya Kimanyema asiogope aje barzani tu zipo kashata na
kahawa kwa hisani ya Ritz.

Ugomvi kaumaliza mwanafulani.
 
Soma kitu uelewe.

Hata waislam walikuwa wa kwanza kumpinga sheikh suleiman takadir kwa kuendekeza udini kwenye siasa.

Ila yeye akasema kwamba tutakuja kumkumbuka.

Miaka miiingi hivi sasa tunakumbuka maneno yake.

Tunaona jins kanisa lilivyoshika hatamu ndan ya Taifa hili huku likdhani kuwa lina nafasi nyeeeti na adhiiim kuliko taasisi yeyote nchi hiii.

Ili hali wakati masheikhs wanapigania uhuru wa nchi hiii maaaskofu hao hao walikuwa wanamhudumia mkoloni kuitangaza dini yake na kupinga harakati hizo.

Tulipinga kauli zake lakini hivi sasa utabir wake umetimia lisisemwe??

Besides uislam kiasili hauwez kuwa na chuki na ukristo wala dini nyingine.

Sema hizo dini nyingine ndizo zenye chuki dhidi ya uislam kwa kuwa uislam ni din ya kweli inayohubiri kuabudiwa kwa mungu mmoja muumba wa mbingu na ardhi na vyoote vilivyomo huku dini zingine zikifanya ujanja ujanja katika hilo na kutaman maslahi ya dunia

Lazima zijiine ziko vitan na uislam.
 
Wanaukumbi,
Namtafuta Ngongo toka jana sijamuona.

Mfikishieni salaam kwa yeyote atakaemtia machoni kuwa vile vilikuwa
vishindo vya Kimanyema asiogope aje barzani tu zipo kashata na
kahawa kwa hisani ya Ritz.

Ugomvi kaumaliza mwanafulani.

Mudeeer

I think kujibizana na mwehu au baba wa wajinga ni kujipotezea muda tuh.

Huyu mtu ni wa kupuuzwa na kudharauriwa kwa kias kikubwa mno.

Kumpuuuza na kumdharau itakuwa ihsan kubwa sana kwake kafanyiwa.
 

Sasa unaongea nini na kujijibu nin?

Unasema ''inge''kuww harakati za uhuru zimefanyikia mkoa wa kilimanjaro wahusika wangekuwa nan??...unachelea kusema nin hapo...kwamba wahusika wangekuwq wakristo siyo??



Umenoa kwa hoja hiyo...unadhan wahusika wangewezaje kushiriki ili hali viongozi wao maaaskofu na mapadre wapo imara kumtumikia mkolon??na kuwahubiria nyinyi kondoo kuwa mungu ni mzungu na kila kizuri ni cha mzungu??

Unadhani wapi wangekuwa na ujasiri wa kuwaambia mpiganie uhuru thubutuuuu....

Picha ndiyo hii unayopewa sasa...hata kama hutaki kiukubali na kuipokea hiyo ndiyo hali halisi.

Uhuru wa nchi hii umepiganiwa na hawa hawa mnaowaita leo magaidi na watu wasio na maana.


Hiyo ndiyo historia uipokee hata kama inakuchoma choma ndivyo Haqi ilivyo.
 

Ofcourse.

Nyerere is very DEAD AND GONE NOW.

TULIDHANI ANGEACHWA AFE NA HILA ZAKE MOJA KWA MOJA.

KINACHOSIKITISHA NI HII HALI INAYOJITOKEZA YA OFFSPRINGS ZAKE KUTAKA KUENDELEA KURITH YALE ALIYOYAPANDIKIZA.

KAMA TAIFA TUNGEAMUA KUWEKA UTAIFA MBELE NA KUACHA EMOTIONS ZA CHUKI ZA KIDINI NA KUANGALIANA KWA TAHARUKI ZA IMAN TUNGEKUWA TUNAFANYA LA MAANA SANA.BAHATI MBAYA HAIKO HIVYO.

NAWEWE UNALITAMBUA HILO.
 
Nilikua nakufatilia kwa umakini nijue unaaangukia kundi gani.

Nimegundua ni wale waleee...kundi la wajinga.

I think ndiyo kwa maaana hata Mudeeer Mohamed Said anakupuuuza kujibu kwa kuwa anakuona kihiyo.


1.kwa mtu ambae unajinasibu kuwa umetembea ulimwenguni na kusema unaandika makala za uchumi sijui na blaa blaaah zako unashindwaje kujua uhalisia wa kinachoendelea huko mideast hadi ufikie hatua ya kusema kuwa nchi hizo zinaongozwa kwa mifumo ya dini na kinachotokea hivi sasa ni vurugu tu...kweli hayo?hivi uko timamu wewe??

Hizo nchi ulizomention mfano libya...iraq..misri zinaongozwa na mfumo wa kiiislam??

Au kwa kuwa wewe unaona kuwa ni weengi waarabu basi mfumo unaongoza ni uislam si ndiyo??

Na kusema kwamba hujui nini kimezikumba nchi hizo hadi keo tunaona political instability imeshika hatamu??hujui na hujaona kabisa western intervention kule ula umeona dini tuh imechangia yele??

Then unajiita eti nawe ni mwandishi na una exposure ya kuifaham dunia...aaah wapi huna uwezo hui Kalubandika.

Labda kama ni mwandishi wa gazeti la sani.

Lakn huo ujuha wako tafuta wa kumwongopea.

Na haiwezekani watu wasikae kuzungumzia vitu hivi ili hali jamii yetu imekuwa ni muhanga wa mfumo huo kwa miaka miiingi sana.

Lazima hivi vitu vizungumzwe na viandikwe ili kuweka historia sawa kwa ajili ya vizazi vyetu vya sasa na vya baadae.

Hata kama wengine mtachukia.

 
Duuuuh.

Teh teh teh.

Mudeeer kwa hiii Nondo huyo chakubimbi hawez tena kuwa na hamu.

Ha ha ha ha

Mimi naitafuata sana Sura yake nikamtishie mwanangu.

Mudeeer shukran sana kwa elimu hiii.

Na kule w.w.w.mohamedsaid.com ndiko kumesheheni zaid.

Mungu akulipe heri zaid.
 

Wanajamvi,
Naweka hapa ushahidi mmoja jinsi udini unavyotishia kuangamiza taifa
letu.

Nimetoa ushahidi huu kutoka kitabu cha Prof. Hamza Mustafa Njozi,
''Muslims and the State in Tanzaia.''

Kitabu hiki kimechapwa mwaka 2010 na Dar es Salaam University
Muslim Truesteeship (DUMT).

Prof. Njozi aliombwa na Waislam aandike kitabu kingine kuitahadharisha
serikali kuhusu kansa hii ya udini nchini baada ya kitabu chake chenye
maudhui kama haya, ''Mwembechai Killings... kupigwa marufuku na serikali.

Tusomeni kwa utulivu:




Source: Hatari ya Udini Katika Jamii - Jamiiforums
 
Tafuta kitabu kilicho andikwa Manisa katoliki na siasa ya Tanzania.we hujui historia
 

The Big Show,
Tuna wajibu mkbwa na tuna dhima khasa ya kuwaeleza wananchi hatari
inayokabili nchi yetu na nani wahusika wakuu wa dhahma hiyo.

Ahsante ndugu yangu na Amin kwa dua zako.
 
Shukran F.F.

Nimekusoma vyema kabisa.[/B][/B]
 
Nakubali sikuleleka. Anayekutukana je malezi yake yakoje hasa akiwa ni mwanamke? Mimi tangu nijiunge humu mwaka 2008 sijawahi tukana mtu isipokuwa kwa hoja.

Mwanamke wa Kiislam anapokuwa hivi inasikitisha kidogo. Sijawahi mtukana huyu mama wala mtu mwingine yeyote humu. Mohamed Said unayakubali matusi haya kwa kuwa haukutukanwa wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…