Pluto thnker
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 456
- 941
pole sana mkuu.
Change your mindset
Sio betting hiyo kuweni na akili basi, tatizo la hizi shithole countries zilizochelewa kuyajua mabadiliko ya maendeleo ya kitechnolojia zinaishia kuumia kila siku sababu ya kukurupuka wenzio wakiwa wameshaamka.
Forex&Cryptocurrency sio utapeli wala aihusiani na betting, ni vile opportunity hii iliingia bongo bado watu wakiwa ktk mindset ya ujima kwamba, ili ufanikiwe lazima uvuje jasho na kujihusisha na kazi za kutumia nguvu akili kidogo, baada ya watu kuanza kuijua biashara hii kuna wachache waliitumia kama chance ya kuwatapeli wengi wajinga wasioijua.
Tofauti na hivi leo maendeleo ya internet yameleta ufahamu mkubwa wa watu kwa vitu walivyokuwa wakitapeliwa sababu ya ujinga wa kutokuvijua, the same thing utapeli uliokuwa ktk mitandao ya simu, leo hii elimu inatolewa kila mahala mitandaoni, tofauti na miaka 5 iliyopita.
Hivi leo kuna Contents creators kwenye social media wamejaa wakiwaelimisha kuhusu fursa za mitandaoni, trading channels kila mahala kuanzia TikTok, Facebook, Instagram, Whatsapp kote huku kuna walimu wa kutoa maarifa ya hizi opportunities, bila kusahau siku hizi kuna institutes nyingi mijini na nje ya miji zinatoa huduma ya kielimu kuhusu hii biashara, sasa mtu unafeli wapi?.
La mwisho kwa sasa kuna uhuru wa kupata elimu kwa njia rahisi kupitia simu yako yenye internet kupitia searching engines(google,) pia kuna AI zinazotoa maelezo ya kila jambo, je mtu unafeli wapi kupata mwanga wa jambo kabla ya kuanza lawama?.
Kwa kila jambo lazima skills(knowledge+experience) itumike ili upate ufaulu ktk jambo hili, mnaosema forex ni betting hamna tofauti na wale wanaokimbilia biashara/kilimo kisa trending wanayoona kwa wenzao waliofanikiwa/kuwashawishi wakihisi watafanikiwa kama wao.
Hauwezi kufanikiwa over night kwa jambo lolote lile haiwezekani, sasa nyie vilaza kwanini mnataka trading iwatajirishe kirahisi wakati kazi zingine hazitajirishi kirahisi hivi?.
Lack of exposure ndio inasababisha hii nchi tubaki nyuma kwa kila jambo, wenzetu nchi jirani kama Kenya, fursa za mitandaoni zinaboresha maisha ya watu sababu ya raia wao kujielimisha kwa kufuata dunia inataka nini kwa kuendana na technology, sisi tuko bize na siasa za kupigana, simba+yanga, kilimo cha mkono na upuuzi wa kila aina wakati huo fursa za maana zikitupita then baadae zikitufikia tunaita utapeli sababu ya kukurupukias
Shida ipo kwa mleta uzi wala forex sio shida uyu jamaa aliongozwa na roho ya kupata utajiri mapema kitu ambacho ni ngumu kama ulianza kufanya izo withdraw kwa ku make your own profit I wonder uliangukaje kwa huo mtego wa robot coz by that time ilibidi uwe umeelewa success is not an overnight thing it takes time kwanini usinge boost mtaji wako kama ulikua umedeposit 100 unapata 10 kwa kutumia hio skills unge advance to 100 upate japo 50 sasa ukakimbilia 100k lazima ule vibao na wengi wanaingia kwa biashara wakiwa na wrong mentalityChange your mindset
Sio betting hiyo kuweni na akili basi, tatizo la hizi shithole countries zilizochelewa kuyajua mabadiliko ya maendeleo ya kitechnolojia zinaishia kuumia kila siku sababu ya kukurupuka wenzio wakiwa wameshaamka.
Forex&Cryptocurrency sio utapeli wala aihusiani na betting, ni vile opportunity hii iliingia bongo bado watu wakiwa ktk mindset ya ujima kwamba, ili ufanikiwe lazima uvuje jasho na kujihusisha na kazi za kutumia nguvu akili kidogo, baada ya watu kuanza kuijua biashara hii kuna wachache waliitumia kama chance ya kuwatapeli wengi wajinga wasioijua.
Tofauti na hivi leo maendeleo ya internet yameleta ufahamu mkubwa wa watu kwa vitu walivyokuwa wakitapeliwa sababu ya ujinga wa kutokuvijua, the same thing utapeli uliokuwa ktk mitandao ya simu, leo hii elimu inatolewa kila mahala mitandaoni, tofauti na miaka 5 iliyopita.
Hivi leo kuna Contents creators kwenye social media wamejaa wakiwaelimisha kuhusu fursa za mitandaoni, trading channels kila mahala kuanzia TikTok, Facebook, Instagram, Whatsapp kote huku kuna walimu wa kutoa maarifa ya hizi opportunities, bila kusahau siku hizi kuna institutes nyingi mijini na nje ya miji zinatoa huduma ya kielimu kuhusu hii biashara, sasa mtu unafeli wapi?.
La mwisho kwa sasa kuna uhuru wa kupata elimu kwa njia rahisi kupitia simu yako yenye internet kupitia searching engines(google,) pia kuna AI zinazotoa maelezo ya kila jambo, je mtu unafeli wapi kupata mwanga wa jambo kabla ya kuanza lawama?.
Kwa kila jambo lazima skills(knowledge+experience) itumike ili upate ufaulu ktk jambo hili, mnaosema forex ni betting hamna tofauti na wale wanaokimbilia biashara/kilimo kisa trending wanayoona kwa wenzao waliofanikiwa/kuwashawishi wakihisi watafanikiwa kama wao.
Hauwezi kufanikiwa over night kwa jambo lolote lile haiwezekani, sasa nyie vilaza kwanini mnataka trading iwatajirishe kirahisi wakati kazi zingine hazitajirishi kirahisi hivi?.
Lack of exposure ndio inasababisha hii nchi tubaki nyuma kwa kila jambo, wenzetu nchi jirani kama Kenya, fursa za mitandaoni zinaboresha maisha ya watu sababu ya raia wao kujielimisha kwa kufuata dunia inataka nini kwa kuendana na technology, sisi tuko bize na siasa za kupigana, simba+yanga, kilimo cha mkono na upuuzi wa kila aina wakati huo fursa za maana zikitupita then baadae zikitufikia tunaita utapeli sababu ya kukurupukia.
Hii nchi ina wajinga wengi mkuu don't waste your precious energy trying to educateHaya upuuzi tueleze wewe forex ni nini?, inahusu nini?, kwanini watu wanaofeli wanaishia kutukana kama ninyi?, kwanini nchi jiran kama Kenya wametuzidi uelewa wa haya mambo ya mitandao kuliko sisi tunaoshinda kubishania simba+yanga.
Toa hoja sio matusi, or otherwise utakuwa huna tofauti na wajinga wengine.
Toa hoja za kitaalamu au kama hujui tuache tunaojua tuwafundishe nyie vilaza
🤣Mimi ni mhitimu kutoka UDSM chuo ambacho kina magenius wengi sana na ma TO wengi sana wamemaliza hapo
Daah unaunga mkono utapeliNampongeza sana huyo tapeli aliyekunyoosha.
Maisha ya utafutaji tuWajinga kama nyie hamtakiwi kuonewa huruma......
Nani aliwaambia kuna pesa za ku download
Kweli mkuu tunajifunza kupitia makosaMara nyingi shortcuts become the longest route to failure.
Miaka nenda rudi tahadhari zinatolewa kuhusu hayo mambo lakini mpaka leo 2026 bado watu mnapigwa kizembe, hapo kwanini nisimpe maua yake tapeli aliyemrudisha kijijini genius wa jalalani?Daah unaunga mkono utapeli
Hii inaweza saidia kurudisha hela😂
Njoo Tanga 😅Kweli wachukue monitor nipate nauli nirudi Buhigwe nikalime
Hata kwenye maisha ya kawaida ukikosa Utulivu na Subra . Na pia ukawa na tamaa ya kupata hela nying kwa haraka na wakat mmoja. Basi utapotea mazima.
Mipango iwepo.
hela za mtandaoni inahitaj uwe na utulivu sana kuzila. Na usiendekeze tamaa. Na pia iwe ni side hustle.
Sio uzitegemee moja kwa moja.