Jinsi biashara ya forex ilivyonifilisi na kuniacha na madeni

Mshaambiwa sana hamsiki
Haya,anyway pole

Ova
 
Change your mindset

Sio betting hiyo kuweni na akili basi, tatizo la hizi shithole countries zilizochelewa kuyajua mabadiliko ya maendeleo ya kitechnolojia zinaishia kuumia kila siku sababu ya kukurupuka wenzio wakiwa wameshaamka.

Forex&Cryptocurrency sio utapeli wala aihusiani na betting, ni vile opportunity hii iliingia bongo bado watu wakiwa ktk mindset ya ujima kwamba, ili ufanikiwe lazima uvuje jasho na kujihusisha na kazi za kutumia nguvu akili kidogo, baada ya watu kuanza kuijua biashara hii kuna wachache waliitumia kama chance ya kuwatapeli wengi wajinga wasioijua.

Tofauti na hivi leo maendeleo ya internet yameleta ufahamu mkubwa wa watu kwa vitu walivyokuwa wakitapeliwa sababu ya ujinga wa kutokuvijua, the same thing utapeli uliokuwa ktk mitandao ya simu, leo hii elimu inatolewa kila mahala mitandaoni, tofauti na miaka 5 iliyopita.

Hivi leo kuna Contents creators kwenye social media wamejaa wakiwaelimisha kuhusu fursa za mitandaoni, trading channels kila mahala kuanzia TikTok, Facebook, Instagram, Whatsapp kote huku kuna walimu wa kutoa maarifa ya hizi opportunities, bila kusahau siku hizi kuna institutes nyingi mijini na nje ya miji zinatoa huduma ya kielimu kuhusu hii biashara, sasa mtu unafeli wapi?.

La mwisho kwa sasa kuna uhuru wa kupata elimu kwa njia rahisi kupitia simu yako yenye internet kupitia searching engines(google,) pia kuna AI zinazotoa maelezo ya kila jambo, je mtu unafeli wapi kupata mwanga wa jambo kabla ya kuanza lawama?.

Kwa kila jambo lazima skills(knowledge+experience) itumike ili upate ufaulu ktk jambo hili, mnaosema forex ni betting hamna tofauti na wale wanaokimbilia biashara/kilimo kisa trending wanayoona kwa wenzao waliofanikiwa/kuwashawishi wakihisi watafanikiwa kama wao.

Hauwezi kufanikiwa over night kwa jambo lolote lile haiwezekani, sasa nyie vilaza kwanini mnataka trading iwatajirishe kirahisi wakati kazi zingine hazitajirishi kirahisi hivi?.

Lack of exposure ndio inasababisha hii nchi tubaki nyuma kwa kila jambo, wenzetu nchi jirani kama Kenya, fursa za mitandaoni zinaboresha maisha ya watu sababu ya raia wao kujielimisha kwa kufuata dunia inataka nini kwa kuendana na technology, sisi tuko bize na siasa za kupigana, simba+yanga, kilimo cha mkono na upuuzi wa kila aina wakati huo fursa za maana zikitupita then baadae zikitufikia tunaita utapeli sababu ya kukurupukia.
Dah! Kiongozi umemaliza Kila kitu, watu wanadhani forex ni get rich over one night business hapo ndo wanapoumia,
Mtu umeumbwa na akili kwanini usijifunze kitu ukafanya mwenyewe course kibao online Udemy, Coursera, webtools na ukiwa mtukutu unazipata bure torrent, eti unakujampa mtu pesa hata humjui akufanyie trading kweli?

Hii kitu inahitaji knowledge, discipline, consistency ili ujenge experience baada ya hapo ni utaona maisha matamu. Mi hata signal za mtu sitaki hata ziwe bure, natumia intuition yangu mwenyewe na mambo yanaenda mdogo mdogo sina haraka
 
Sema mwamba pole,
Hapo kabla ungekuja hata kuomba ushauri jukwaani at least ungepata insight kwa wadau namna ya kuingia kwa hiyo anga uingiaje,
Kuna members kibao wako na experience ungepata ushauri namna ya kufanya self study course za bure zipo kibao online achana na Hawa wanatoa vionjo YouTube namaanisha course full package intro to conclusion,
ungejifunza bila hata kutoa mia yako,
ila ndo hivyo
 
Mimi ni mhitimu kutoka UDSM chuo ambacho kina magenius wengi sana na ma TO wengi sana wamemaliza hapo
💩💩 Tatizo lako la huo ujinga wako lilianzia hapa.
Anyways, ukishasikia mtu anajihusisha na forex basi tambua hana akili na hana tofauti na wale watu wa vijijini wanaocheza karata 3 stand
 
Mtoa mada ni wale watu wajinga ambao hawasikii mpaka watoke damu.!
Wewe hauna tofauti na wale wanaooa masingle Mama..yani hamskii kabisaa ,sasa kuwa makini hapa mjini usije ukaliwa Donati.
 
Forex haina tofauti na wewe unaenunua pesa ya zambia kutoka pesa ya Tsh ukilenga kupata faida ya percentage fulani sababu ya utofauti wa thamani ya pesa hizo kupitia njia rahisi ya internet inayokupa access ya soko kupitia njia za kutrade kidigital.
unapofeli ni sababu ya uzembe wako wa kushindwa kuchambua performance ya sarafu sokoni badala yake unatumia hisia zako badala ya uhalisia.

Unapohusisha forex na aviator unakuwa hujui lolote kuhusu hili jambo au umehadithiwa na vilaza waliofeli au hujui lolote.

Tusome jamani
Haya maneno sio mapya hapa mjini.
 
Wewe ukuogopa kusikia TINGATINGA ROBOT 😂😂😂 sikia sasa wewe ni content mtafute milad ayo ufanye naye kipindi akupe nauli maana utakuwa umempa content ila pole sana dogo
 
Kuna jamaa alikuwa anaitwa Ontario
Kama sikosei aliwaliza wengi sana kwenye hiyo Forex
 
mimi napendaga sana mtu anaejaribu
anaethubutu chochote
huwezi kufanikiwa kama kila saa unaogopa kutapeliwa
nimesoma takribani coment zote
watu wa jf ni waoga sana ....
yaaani sana
mimi nimeshafanya takribani biashara 6 na hadi kesho nathubutu vitu vigumu sana
nimekuja kujaribu kitu kigumu sana mwenyewe
na ndo kimenitoa.....ila ni baada ya kufanya mambo mengi na mengine yenye majina ya utatapeliwa...
naamini kuna watu huko kwenye forex wamefanikiwa wapo.... na wenyewe siku moja walianza kama wewe ila huko hakuna fungu lako
mimi kitu pekee nachoogopa ni kuogopa kufanya jambo.... hilo umelipita ....naaamini utafanikiwa tu kupitia jambo lingine ni kama tu hauna uoga
na kamwe usiingize uoga....sipajui buhigwe lakini wewe unapajua...kama unarudi usiingize uoga kabisa....
kama ni kulima kama ni fursa ambayo unaiona ni nzuri usiingie uoga ...rudi nyumbani.kwa kuwa hutalala njaaa tafuta namna ya kutengeneza mtaji wa kulima au kufanya jambo
ila katu usiogope hata kama utafeli mara 100...

kuna mtu kakoment hapo juu kwamba
uliruka stage moja ndogo sana
hukutaka kuumia mwenyewe...ulipitia shortcut...
na hii ndo gharama uliyolipia....
hata kwa kutumia mtandao tu kutafuta taarifa nadhani ungeepuka pakubwa kutapeliwa..
na pia usipende sana misaada...naona ushasoma na kutembea kwa walimu wengi sana ila bado ulihitaji msaada....why usingeona hili jambo lina ukakasi kwa hii njia ninayopitia??
karibia kila kitu unachotaka kujua ulimwenguni kwa sasa 99% unaweza pata mtandaoni
tumia mtandao kupata taarifa zaidi kuliko kutumia watu....
utakua unatapeliwa sana

cha mwisho....jambo lolote unalotaka kufanya umia mwenyewe kwanza mpaka uone sasa nahitaji msaaada...
jifunze kujisumbua kwanza...usipende urahisi
mwisho..nakutakia kila la heri...
ila dar ni rahisi sana kutoboa ukowa hauna aibu
nakupa list ya vitu simple hapa kwa mtaji mdogo sana...ila vua degree kwanza
1.....kajifunze namna ya kununua,kutengeneza pweza,na vile viambata vyake uuze..tafuta sehemu ya kuwka meza haswa eneo la stand mida ya jioni..uwe msafi...(hii inahitaji uifatilie mwenyewe)
2...kama huko buhigwe ni wapi sijui
....kama
ni mwanza sijui....anziaha biashara ku kaanga na kupack dagaa na samaki)utume dar kwa uaminifu na kukusanya shuhuda za wateja(anywaysss ni ikiwa utarudi
....mambo ni mengi nimechoka kuandika
ila Vua degree kwanza ...
 
Asante sana mkuu huu ni ushauri tosha
 
Mkuu. Naomba utoe ushauri kulingana na mazingira. Hebu tafakari kwanza: Kuna robot lenye uwezo wa ku-download mpaka dola 10,000 kwa wiki, na mwenye hilo robot analiuza kwa dola 2500. Swali: Kwanini aliuze badala ya kulitumia? Na kama anayo mengi, kwa nini hayatumii yampe fedha nyingi zaidi kuliko hizo anazopata kwa kuuza? Yale yale ya mganga wa kienyeji anayelala kwenye kibanda anakulipisha fedha ili akufanye uwe tajiri.
 
Back
Top Bottom