Jinsi biashara ya forex ilivyonifilisi na kuniacha na madeni

Mara nyingi shortcuts become the longest route to failure.
 
Wajinga kama nyie hamtakiwi kuonewa huruma......
Nani aliwaambia kuna pesa za ku download?
 
S

Shida ipo kwa mleta uzi wala forex sio shida uyu jamaa aliongozwa na roho ya kupata utajiri mapema kitu ambacho ni ngumu kama ulianza kufanya izo withdraw kwa ku make your own profit I wonder uliangukaje kwa huo mtego wa robot coz by that time ilibidi uwe umeelewa success is not an overnight thing it takes time kwanini usinge boost mtaji wako kama ulikua umedeposit 100 unapata 10 kwa kutumia hio skills unge advance to 100 upate japo 50 sasa ukakimbilia 100k lazima ule vibao na wengi wanaingia kwa biashara wakiwa na wrong mentality
 
Hii nchi ina wajinga wengi mkuu don't waste your precious energy trying to educate
 
Daah unaunga mkono utapeli
Miaka nenda rudi tahadhari zinatolewa kuhusu hayo mambo lakini mpaka leo 2026 bado watu mnapigwa kizembe, hapo kwanini nisimpe maua yake tapeli aliyemrudisha kijijini genius wa jalalani?
 

We only live once, and one day our time will come to an end. So why spend your life trying to satisfy people who are waiting for you to fail?

Live your life. Chase your dreams. Learn from your mistakes. Keep moving forward.

People will always have something to say, whether you succeed or fail. So let them talk while you keep building the life you truly want.
 
sasa hapo forex imekufilisi vipi ?...au umetapeliwa,kama kuna robot zinazotoa faida kiasi hicho nani angekuwa masikini,nani angehangaika na machati?,na kama robot zingekuwa kweli zisingeuzwa,huenda zipo za kweli ila haziuzwi
 

Sahihi kabsa, sema mwanetu aliingia miguu yote miwili, mm ninapoanza k2 kpya huwa siamini kwny kuelekezwa na mtu natakaga niumie kwanza mwenyewe, kwny kuumia unajikuta umekuwa master bila msaada wa m2 yyte. mwanetu aliskip kpengele ndo akadondokea mamentor uchwara, ukijua fx ni pori kubwa halina mwnywe hutakaa uamini mawazo ya mwngne zaidi yako mwnywe, mchawi kuwa na strategy yako mwnywe hutakaa kulaumu m2.
 
Sasa umefika dar unataka upate hela harakaharaka kwani si umewakuta watu hapo subiri zamuyako
 
Ulisomea kozi gani hapo udsm.Kuelimika ni pamoja na kukwepa mitego ya kitapeli kama iliyokufilisi
 
Hapo shida sio fx ni ww ulitaka pesa za chap, hawa instagram fake traders wanawaumiza sana vijana yani noel nikicheki tu ig yake naona flex za kufake tu cjui mnawaaminije.
Wale ni trading influencers sio real traders,wakweli hata sio watu wa kupost showoffs izo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…