Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Haya.nikushukuru tu INSIDER MAN . Nimeanza leo kuusoma uzi wako mpaka unaishia hapa kwenye kelele.
Itoshe kusema leo umenisindikiza toka napanda basi iringa mpaka muda huu nashuka Arusha.

Ahsante sana.

Ukiendelea sawaa ..ukikaza pia sawa.Yote ni maamuz yako na una sababu zako.

Kwakifupi vitoto hivi vingi vya JF ni shida sana
 
Huyo ndugu Medicin hana cha kujiviunia. Kazi kusimamia kazi za Dingi wake. Ana nini cha kwake binafsi?Whether it is true or not ,why does it bother him. Kila mtu ni grown up and they can decide otherwise. Rumour has that amepigwa PI na divorce
 
Mzee mimi sina shida ya kuona bank statement sijui amepiga mataifa mangapi hayo yote kwangu hayana maana
Kinachoniuma ni yeye kuharibu uzi ambao watu wote wapenda stori nzuri tuliupenda
 
Uzi uko na 351k views and over 1k comments!

Kuukatisha kwa sababu na ngedere wawili watatu ni kuikosea heshima hadhira yako. Anyway, naheshimu maamuzi yako. I'm out!


NB: Hassan Killo, wewe ni msengerema.
daah! Umewaza mbali sana....
 
Hebu orodhesha matukio ambayo ameeleza hayana ukweli, halafu utuambie ukweli ni upi.
 
Bro kama unaimalizia kuna PM tafadhali niendelezee na Mimi hizo episodes.
 
Kwani we jamaa unashida Gani? Iwe ya kutunga au ya ukweli wewe inakuhusu Nini ? Achana na hii mada story ni yake ana uhuru wa kuiandika atakavyo hulazimishwi kusoma na kujalipia kusoma... Damp your frustrations somewhere else
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…