Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mkuu, tunashukuru kwa kuamua kuendelea.
Maoni yangu naomba tuendelee kama ambavyo ulikuwa unatuletea. (So, Option 2 is best but uongeze idadi ya Episodes kwa wiki, ikiwezekana kila siku Episode moja).

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Aisee,
Hatimaye umejiweka bayana kinachokusumbua. Unamuonea wivu jamaa jinsi warembo wa hapa jf watavyomtaka.
 
Bro Asante kwa kutujal wasomaji,,,wako Binafs nikupe kwanza Hongera ,,nimejifunzA jambo kubwa kupitia story ,,wanaosema umeongeza chai,,we ongeza hata asal cha muhimu sisi wasomaji tunaburudika na kujifunza,,,Hao walimwengu ,,,,achana nao,,,,ni wivu tu unawasimbua
 
Mkuu Salute kwa hilo. Pili Arosto imetukaba sana dondosha moja kwanza then me nadhani option 2 inafaa
 
Wewe unaonekana una ulimbukeni, wenye maisha mazuri huwa hawajitangazi kama wewe hadharani unaushamba wa kisukuma. Seems unamaisha magumu ila unataka tukuone firstclass.
hebu tutake radhi wasukuma. Sisi mangosha hatunaga tabia za kichoko hizo. Maana mwanaume anayediriki kuwaonea wivu madem, huyo ni rainbow.
 
INSIDER nashukuru umesikia maoni ya wengi wakiomba simulizi iendelee shukrani zikufikie popote ulipo.

Kabla ya kupost wa block/ignore wote wanaosema umetunga/chai hao ndio kikwazo kwa hii simulizi.

Post simulizi kulingana na ratiba yako pale upatapo nafasi.
 

Kichwa yako laini saana, kama ulisoma vzr alisema $10,000 alimtajia mteja kisa hataki kumpa huduma! Akasema ni mbinu wanayoitumia kuwakataa baadhi ya wateja.

Pia ni asset sio assert.
 
Kaka INSIDER usituadhibu sisi tunaopenda strory hii na kuifuatilia kila siku please. Please endelea usiache.

Hebu fanya namna uwablock hao wasumbufu. Usikasirike please you seem to be so humble and gentleman achana na wapuuzi huwaga hawakosekani.

Tafadhali endelea sisi tunapenda na tunaamini ni kweli sio chai.
 

'Kuna watu hapa mjini hawana shida' hilo hakuna asolijua ila uongo utabaki kuwa uongo tu
Na wenye exposure ndo wanajua chai ilipo, ila wa 'madongo kuinama' wanaona bonge la movie la kusisimua?
Umeandika ujinga.
 
Kwanza nikipongeze kaka kwa uamuzi wa hekima na busara, hongera sana maana ni wengi tunajifunza kutokana na story yako, nafikiri ungeendelea na utaratibu ambao unaona utakuwa ni rahisi kwako kipost hapa hilo nafikiri libaki kwako
 
Ukiweza Kila week 3 ni vizur zaid au ukipata mda shushaa zote ni sawa
 
Ana
Anapenda kunywesha watu chai hataki wahoji kwann imezidi sukari ha aha haaa...!!na mitanzania inapenda Sana kudanganywa thus why kile chama kinatawala milele
 
Sasa best huoni unatukatili nasisi tunaopenda na kuifatilia hii story?

Tafadhali naomba uendelee kwajili yetu, ni wengi tunaokufatilia kuliko hao wachache wanaokupinga

Na wapingaji hawakosekanagi sehemu yoyote ile. Kama ulivoamua kwa utashi wako kutuletea hii story tunakuomba uendelee bila kujali hao wakatisha tamaa

Nanukuu maneno yako jana kua "mwanaume hasusi"
Hivo naomba nawe usisuse tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…