Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu


Asante kaka[emoji91][emoji91][emoji1430]
 
Uko sahihi ..naunga hoja
 
Hii nchi bado ina majitu magiiiingaa sana…Comments nyingi kweli kumbe ni kuna ubwege wa watu wachache sana wanaoleta miyeyusho mkuu INSIDER MAN weka episodes iwe chai iwe asali walaji wapo.
 
Ndani ya week u-post episode 3
 
Nachosikitika kuna mtu anaweza kimbilia kufanya biashara ya Uber only sababu ya kusoma simulizi ya kipuuzi kama hii.
Ukitumia nguvu na muda wako kudanganya namna hii unapata faida gani?
 
Eb
Nachosikitika kuna mtu anaweza kimbilia kufanya biashara ya Uber only sababu ya kusoma simulizi ya kipuuzi kama hii.
Ukitumia nguvu na muda wako kudanganya namna hii unapata faida gani?
Endelea kusikitika mkuu hakuna atajayekuzuia.
Njia anazopita huyu jamaa wa kuitwa
INSIDER MAN basi tambua kuwa 99% wa vijana wa Kitanzania hawawez kupita sababu ya tamaa za kijinga hasa hasa kwenye ngono.

Ukiwa real na unajitambua na Una malengo yako basi uwezekano wa kutoboa katika unachokifanya ni mkubwa sana
 
Kwa hiyo huyu dereva taxi ametoboa?

Huyu anaandika maisha anayoyaota.
 
kweli kabisa kupenda sifa na kutovumilia nyege kunakwamisha vijana weng sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…