Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mdugu zangu nitamalizia hii story sababu ya heshima ya JF. Kuna watu wengi wamenitumia ujumbe na watu ambao nawaheshimu wameomba nimalizie story.

Nimegundua story inafuatiliwa na watu wengi sana mpaka sasa tuna views almost 400k ni watu wengi sana.

Nitawapa mwendelezo na huu mwezi 8 story yetu itakuwa imeisha yote.

Kitu kingine sitajibu swali lolote kwa mtu atakayeuliza, ila nitajibu maswali yote baada ya kumaliza kuandika story.

Naomba heshima iwepo kwenye uzi kusiwepo na watu kutukanana sio jambo jema sisi sote ni Watanzania japo kuna foreigners pia wanapitia huu uzi. Kwa mtu ambaye atakiuka na kuleta taharuki nitamreport kwa mods waangalie namna ya kudeal naye.

Kama unaona huwezi kwenda na hii story unaweza uka ignore huu uzi, ukaacha watu ambao wako tayari kusoma.

Nilikua naomba mfanye maamuzi nyinyi wenyewe;

1. Niandike Epsode zote then nizipost?

2. Ndani ya week niwe napost episode 3?

Option ipi kwenu itafaa?

BY INSIDER MAN

Asante kaka[emoji91][emoji91][emoji1430]
 
Rafiki yangu mi naishi uhalisia hiyo ccm unayoitaja naijua rangi ya bendera yao tu ni kijani, kiufupi sifuatilii siasa hata chembe, hivyo hapo unansingizia fuatilia hata comments zangu huwezi kuta nimeshobokea siasa sijui bandari sijui kuuzwa kama kuuzwa tushauzwa kitambo hapo ni kubadilishiwa mteja tu.
Sema mi napenda uhalisia usitupange simulizi ya ukweli afu ndani uhalisia hamna, na katika kazi ya fasihi inatakiwa iburudishe, ielimishe ili watu waifuatilie lazima isisimue sio unasoma story za mtu za daily routine ye kila siku ni anakutana na zali la mentali tu, hata wanaotumia ndumba (hata masonia) au wanaomtegemea mungu kuna ups and down za kutosha, kujisifu kwingi sijui gentlemen sijui mstaarabu hizo promo tunazijua. Mi mwenyewe nikiamua kukufunga kamba kwa story nakufunga na hamna boya anashtuka ila ukiona mtu kashtukiwa na watu wawili watatu ujue kuna walakini
Uko sahihi ..naunga hoja
 
Hii nchi bado ina majitu magiiiingaa sana…Comments nyingi kweli kumbe ni kuna ubwege wa watu wachache sana wanaoleta miyeyusho mkuu INSIDER MAN weka episodes iwe chai iwe asali walaji wapo.
 
Mdugu zangu nitamalizia hii story sababu ya heshima ya JF. Kuna watu wengi wamenitumia ujumbe na watu ambao nawaheshimu wameomba nimalizie story.

Nimegundua story inafuatiliwa na watu wengi sana mpaka sasa tuna views almost 400k ni watu wengi sana.

Nitawapa mwendelezo na huu mwezi 8 story yetu itakuwa imeisha yote.

Kitu kingine sitajibu swali lolote kwa mtu atakayeuliza, ila nitajibu maswali yote baada ya kumaliza kuandika story.

Naomba heshima iwepo kwenye uzi kusiwepo na watu kutukanana sio jambo jema sisi sote ni Watanzania japo kuna foreigners pia wanapitia huu uzi. Kwa mtu ambaye atakiuka na kuleta taharuki nitamreport kwa mods waangalie namna ya kudeal naye.

Kama unaona huwezi kwenda na hii story unaweza uka ignore huu uzi, ukaacha watu ambao wako tayari kusoma.

Nilikua naomba mfanye maamuzi nyinyi wenyewe;

1. Niandike Epsode zote then nizipost?

2. Ndani ya week niwe napost episode 3?

Option ipi kwenu itafaa?

BY INSIDER MAN
Ndani ya week u-post episode 3
 
Nachosikitika kuna mtu anaweza kimbilia kufanya biashara ya Uber only sababu ya kusoma simulizi ya kipuuzi kama hii.
Ukitumia nguvu na muda wako kudanganya namna hii unapata faida gani?
 
Eb

Endelea kusikitika mkuu hakuna atajayekuzuia.
Njia anazopita huyu jamaa wa kuitwa
INSIDER MAN basi tambua kuwa 99% wa vijana wa Kitanzania hawawez kupita sababu ya tamaa za kijinga hasa hasa kwenye ngono.

Ukiwa real na unajitambua na Una malengo yako basi uwezekano wa kutoboa katika unachokifanya ni mkubwa sana
 
Kwa hiyo huyu dereva taxi ametoboa?

Huyu anaandika maisha anayoyaota.
 
Eb
Endelea kusikitika mkuu hakuna atajayekuzuia.
Njia anazopita huyu jamaa wa kuitwa
INSIDER MAN basi tambua kuwa 99% wa vijana wa Kitanzania hawawez kupita sababu ya tamaa za kijinga hasa hasa kwenye ngono.

Ukiwa real na unajitambua na Una malengo yako basi uwezekano wa kutoboa katika unachokifanya ni mkubwa sana
kweli kabisa kupenda sifa na kutovumilia nyege kunakwamisha vijana weng sana
 
Back
Top Bottom