Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kilichofanya IRYN asitishe mkataba ni nini?

1. Wivu?
2. Masuala ya Usalama?
3. Sababu ya kutomshirikisha mambo yangu na kuwa msiri sana.?
4. Kumpa simu Mama J ambayo alinipa mimi kama zawadi ?
5. Sababu mimi ni Mme wa mtu ?
6. Alijua namuuza kwa Muajemi ?
7. Kuna mambo Mama J alimwambia?
8. Kumkodishia Uber wakati mimi ni Dereva wake.

Haya ni mawazo mbalimbali ya wafuatiliaji wa hii story, acha tuone ni nini kiliendelea maana mambo yalishapita tayari.
 
Wazo langu halipo kumkodishia uber wkt wewe ni dereva wake kamind kwamba ujampa preority
 
Kama tulivyokuwa tunasubiri kuliwa kwa Edna na Roma kwenye story ya singanojr siku alivyoliwa ilikuwa sherehe[emoji3][emoji3]
Aliliwa kwa mbinde sana edna. kwa aibu akaliwa ofisini roma alinifurahisha siku hyo
 
Reactions: ram
Zote ni sababu [emoji23]
 
Kuna mambo mama J alimwambia kumbuka iryn mama yake alikufa kutokana na presha sababu ya usiri wa babake so akaona akae pembeni kuokoa hii familia ukizingatia alimpenda sana junior so hakutaka insider man anogowe na ukaribu wake tena for de sake of his family.
 
Na tumeumbwa ivyo deliberately,ku escape nature you've to do extra work which it isn't affordable by many Living creature

Hatujaumbwa ivyo,ila kwakuwa adamu alimruhus nyoka kumdanganya basi nyoka alikaa ndani yake, ndo Yesu na yohana mbatizaji anakuja kuwaita uzao wa nyoka. Ni kwa sababu wengi wameruhusu nyoka akae ndani yake kwa kupenda amakutokupenda.
 
Poa poa INSIDER MAN endelea na mishemishe zako za maisha.....achana na wehu wa humu ndani
 
LIT LIT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…