Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Huwezi amin hichi kipande mafisi tumekielewa kinyama, ilibaki kudumbukiza mtwangio Kwa kinu alafu unasepa na 💯 dadeki
Mafisi oyeeere!!
 
Nilicho gundua huyu insider hii ni story ambayo bado inaendelea kwenye maisha yake halisi. Hivyo hadi apate Visa ndio anatuletea ndio maana katuambia atatuletea Visa wiki hadi wiki .....ila ni story moja tam sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tukijua hawasameheki
 
Iko hivyo ni inshu ya maumbile ikumbukwe nyinyi mnatokea kwenye mbavu zetu wanaume tuna historia toka enzi kumiliki zaidi ya mwanamke mmoja ila kw mwanamke kumiliki zaidi ya mwanaume mmoja haileti picha nzuri kw jamii pia hatuna historia kwenye vitabu vyetu vya dini
 
Naona mzee hapo kwa Iryn umeingia kwenye ligi na Muajemi. Dadeq safi sana yeye ana mawe wewe silaha yako kubwa "kujali", ngoma inogile conflict of Interest.
 
Nataka kuona watabiri hapa:

1. Unafikiri Iryn alikua anapiga mishe gani?

2. Vipi kuhusu Mama J atakuja kujua kazi yangu ya uber?

3. Nitakuja kumla Prisca??
1.Irene atakuwa mfanyabiashara
2.Mama j atajua maana naamini utamwambia
3.Prisca hutomla japo ataonyesha ligi za kukupenda,kukupet n.k
 
Nilicho gundua huyu insider hii ni story ambayo bado inaendelea kwenye maisha yake halisi. Hivyo hadi apate Visa ndio anatuletea ndio maana katuambia atatuletea Visa wiki hadi wiki .....ila ni story moja tam sana

Ilishapita mkuu, kuandika story week to week ili nipate muda wa kutosha na majukumu mengi ya kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…