iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 440
- 1,086
Muajemi nae anajifanya kumuulizia sis ngoja tusubirie tuone!
Itakua ile Siku alivowakuta chumbani kwa Insider Wivu ulimshika akashindwa kujiziua kuuliza! Possibly amefanya yake !Na wakati huo Muajemi anajua kila kitu kuhusu Irene alipo, atakua amemteka, amejifanya kumuulizia tu ili kutest kama Insider anajua au hajui kinachoendelea kuhusu Irene [emoji41]
Kumbukeni haya matukio ya story ilishapita msimuliaji anaongea mambo ya nyuma huko sio current story jamaniKuna wimbi kubwa sana la wanawake wenye fursa za kipesa. Kama wewe ni mtafutaji hakikisha unacheza miguu yote .
Real recognize real ...Lucy alisha kuambia na kuku onya kuwa ukizembea utakosa vyote.
Wewe na Lucy..Lucy ndio alikua wa kwanza kufahamiana na irene hivyo basi Lucy anamjua vyema irene.
Irene anakuvutia upepo tu na anakupenda kweli ....ila ndugu yetu insider ni mbinafsi sana kwa mwamvuli wa utafutaji. Huyu irene alikujali hata nje ya mkataba wa kazi lakini wewe kumpa dudu tu ambayo hupungukiwi kitu uliona kazi.
Kifupi hadi hapa irene akikutafutia mwanaume mwingine ndio awe boss wako ndio akili itakukaa na huyo jamaa awe anakutuma kama mtoto ndio mzani utabalance
Haya ccyMuajemi nae anajifanya kumuulizia sis ngoja tusubirie tuone!
Yaaaani huyu ndo kaongea uhalisia wa maisha utakavyokuwa, japo kwenye story kunaweza kuwa na ideal scenarios...Kuna wimbi kubwa sana la wanawake wenye fursa za kipesa. Kama wewe ni mtafutaji hakikisha unacheza miguu yote .
Real recognize real ...Lucy alisha kuambia na kuku onya kuwa ukizembea utakosa vyote.
Wewe na Lucy..Lucy ndio alikua wa kwanza kufahamiana na irene hivyo basi Lucy anamjua vyema irene.
Irene anakuvutia upepo tu na anakupenda kweli ....ila ndugu yetu insider ni mbinafsi sana kwa mwamvuli wa utafutaji. Huyu irene alikujali hata nje ya mkataba wa kazi lakini wewe kumpa dudu tu ambayo hupungukiwi kitu uliona kazi.
Kifupi hadi hapa irene akikutafutia mwanaume mwingine ndio awe boss wako ndio akili itakukaa na huyo jamaa awe anakutuma kama mtoto ndio mzani utabalance
Hilo tako lako ndembe ndembe hapo avater unafikiri linahusiana na bandari au na ngono??Hv uoni kama iryn kapotea katekwa alfu unahoji hili swali ??? mbona hatuna huruma wanadamu tunawaza mzangamuono tu ndio maana mama wetu kaamua kupiga bandari Bei mijitu inawaza ngono tu
Nimependa hiiNjoo PM mkuu.
Bado una-supply mkuu tufanye biashara?Alfu insiders nilikuomba dili la kusupply vifaaa vya ujenzi kwenye site yako huku makulu hujanijibua mkp leo hi si dharau kbsa mkuu
Jaribu kum-search kwa jina lake. Siku nyingine sana 2014 kurudi nyumaHuyu lala1 nazipataje nyuzi zake nipitie
Simpati kwa jina lakeJaribu kum-search kwa jina lake. Siku nyingine sana 2014 kurudi nyuma
Sema hawa wataalamu wa huu mfumo kuna vitu walifanya wakapoteza baadhi ya data. Sijui itakuaje sasa.Simpati kwa jina lake
Andika @Lara1 sio lala1[emoji2][emoji2]Simpati kwa jina lake
Simpati kwa jina lake
Shukran mkuuWeekend Story! All is Fair in Love and War!
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Msione niko kimya mkajua ma story hakuna, yapooo teleee! Mambo ni hiviiiiii! Napata ma story nawakumbukaje wapendaa ubuyuuuu. Napata mastory matamu matamuuu! Sababu tarehe 26 sio mbali wala nini, haina ubaya nikiandika one more story maana ndio ya sio inaweza kuwa...www.jamiiforums.com