Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Na wakati huo Muajemi anajua kila kitu kuhusu Irene alipo, atakua amemteka, amejifanya kumuulizia tu ili kutest kama Insider anajua au hajui kinachoendelea kuhusu Irene [emoji41]
Itakua ile Siku alivowakuta chumbani kwa Insider Wivu ulimshika akashindwa kujiziua kuuliza! Possibly amefanya yake !
Sijui itaendelea lini hata!
 
Kuna wimbi kubwa sana la wanawake wenye fursa za kipesa. Kama wewe ni mtafutaji hakikisha unacheza miguu yote .

Real recognize real ...Lucy alisha kuambia na kuku onya kuwa ukizembea utakosa vyote.

Wewe na Lucy..Lucy ndio alikua wa kwanza kufahamiana na irene hivyo basi Lucy anamjua vyema irene.

Irene anakuvutia upepo tu na anakupenda kweli ....ila ndugu yetu insider ni mbinafsi sana kwa mwamvuli wa utafutaji. Huyu irene alikujali hata nje ya mkataba wa kazi lakini wewe kumpa dudu tu ambayo hupungukiwi kitu uliona kazi.

Kifupi hadi hapa irene akikutafutia mwanaume mwingine ndio awe boss wako ndio akili itakukaa na huyo jamaa awe anakutuma kama mtoto ndio mzani utabalance
Kumbukeni haya matukio ya story ilishapita msimuliaji anaongea mambo ya nyuma huko sio current story jamani
 
Kuna wimbi kubwa sana la wanawake wenye fursa za kipesa. Kama wewe ni mtafutaji hakikisha unacheza miguu yote .

Real recognize real ...Lucy alisha kuambia na kuku onya kuwa ukizembea utakosa vyote.

Wewe na Lucy..Lucy ndio alikua wa kwanza kufahamiana na irene hivyo basi Lucy anamjua vyema irene.

Irene anakuvutia upepo tu na anakupenda kweli ....ila ndugu yetu insider ni mbinafsi sana kwa mwamvuli wa utafutaji. Huyu irene alikujali hata nje ya mkataba wa kazi lakini wewe kumpa dudu tu ambayo hupungukiwi kitu uliona kazi.

Kifupi hadi hapa irene akikutafutia mwanaume mwingine ndio awe boss wako ndio akili itakukaa na huyo jamaa awe anakutuma kama mtoto ndio mzani utabalance
Yaaaani huyu ndo kaongea uhalisia wa maisha utakavyokuwa, japo kwenye story kunaweza kuwa na ideal scenarios...
 
Simpati kwa jina lake
 
Shukran mkuu
 
Back
Top Bottom