iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 440
- 1,086
Muajemi nae anajifanya kumuulizia sis ngoja tusubirie tuone!
Na wakati huo Muajemi anajua kila kitu kuhusu Irene alipo, atakua amemteka, amejifanya kumuulizia tu ili kutest kama Insider anajua au hajui kinachoendelea kuhusu Irene [emoji41]