Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

haya maisha kuna watu wanaishi nusu pepo aseh,nilikuwa naendaga pale baobab masaki kunywa juice kila weknd

watoto wa asas walikuw wanakuja na gar pale wanachukua juic zao wakimaliza wanagawa misimbazi kwa wafanyakaz wa ule mgahawa ukiwaangalia watoto wenyew ni U17.

nikauliza nikaambiwa ni utaratibu wao kila wakija lazima watoe vibunda sas ww fikiria hao ni watoto,mtu anakaa apartment kwa mwez analipa milion 15 sas kutoa vilaki unafkr ni ajabu
 
Upo sahihi kabisa maisha hayafanani Kuna watu pesa kwao sio tatizoo
 
Na wengi wanahisi maisha waliyonayo magumu ndo kila mtu anayo na kinachowapa hasira ni amount za pesa anazozitaja
 
Hawapajui hata hapo samaki samaki kwamba local beer tu ni kwanzia 5000
Wamezoea beer za 1500 basi watakuja kumwaga mate humu 😆😆
 
Nakukatalia mkuu. Hiv umeshawahigi kusoma viatbu vya Dan brown. Ingekua ulaya wanazuia wangezuia vyake maana siwez kukuelezea jins alivyoichambua serekal ya marekan. Usituone kimya ukajua hatujui
Refer George Markov.
 
Hawapajui hata hapo samaki samaki kwamba local beer tu ni kwanzia 5000
Wamezoea beer za 1500 basi watakuja kumwaga mate humu [emoji38][emoji38]

Wengi wako mikoani huko ambako elfu 20 anapata bia zaidi ya 10 wakati Kwa Dar hiyo 20k ni nauli ya kwenda tu maeneo.

Nilikuwa nashuhudia Kidimbwi meza moja ilikuwa na watu kama 8 hivi, walikuwa wanajaza Mamoet, Ma hennessy wanachezea hela.

Niliwaza nikasema inabidi nitafute hela, kuna watu wanapesa asee.

Ukitembea huko Samaki samaki, Kidimbwi, Wavuvi, watu wanatumia Pesa asee ni hatari, afu kulikuwa na Maison Club kabla haijafungwa unakutana na Table mpaka ya 12.5M na zilikuwa zinajaa. Kwanza kuingia kwake lazima uregister online na kupata chair lazima uwe unatumia kuanzia 220k hawa ndo Maison.

Hata mimi hapa nikitaka kesho kutoka lazima niwe na 200k mfukoni hapa kidogo nakuwa na amani.
 
Upo sahihi bado wale wa kwend kulewea level 8 au serena....kwanza magari yao tu full tank inaanzia 180k
Wakati huo ni mshahara wa mtu
Tutafute pesa jamani
 

Umejuaje kwamba amekumbuka kila litu? Unaargue as if wewe una script ya matukio ya jamaa sasa unalinganisha na anachosimulia na unaona anaenda kinyume. Umejuaje kwamba matukio anayosimulia yapo exactly na yaliyotokea???
Kuhusu True Story au Fiction, wewe ambaye umegundua kuwa ni fiction kwa nini bado upo hapa?
 
Watu mnatumia hisia wakati uhalisia upo.
Story imewakolea mpaka mnashindwa kutumia bongo zenu.

Hivi hii dunia kuna mwenye akili timamu asiejua kua kuna watu wana pesa sana!??

Mwandishi mwenyewe ameshakiri kua story kuna mahali anatwist ili kulinda wahusika na yeye mwenyewe(yeye anasema anaandika kwa code). Kuna watu kawatafutia kazi humu na yeye anasema wa jinsi alivyoandika sio rahisi wao kuwajua wahusika maana kaandika mengi kwa code..

Hawezi akaandika ukweli 100%, content ni ya kweli ila conv, routes na baadhi ya matukio ni lazima ayatwist kidogo.

Sasa nyie mmekazana kuoneshana nani kawaona matajiri wengi, nani kasoma na matajiri (na mpaka sasa hamna tajiri aliejitokeza zaidi ya chawa tu).

Mtu anaposema chai ni maoni yake na sio ushamba, sijui hana hela, na humu anaejua ni chai au sio ni mwandishi pekee.
 
Daaaaah, ni kama kile kibao nilipigwa mimi.

Mpaka sasa naona maluwe luwe tu sielewi kinachoendelea.

Ila mwamba sijui ulichomokaje hapo Kwa Iryn.

Ngoja tusubiri.

Ila kuwa na mahusiano na Prisca tokea mwanzo ulizingua Sana.
Usije kurudia tena kosa kama hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…