Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mdada umeuwaaaaa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]chukuwa maua pia [emoji253] [emoji257] [emoji7]
 
kwahiyo unamwambiaje Insider kuwa analelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtoto wa Mjini halelewagi aisee ingawa waleaji wanamsaka kwa fujo. Tabia za wanaolelewa mbona ziko wazi tu. Kwa lugha nyingine, uShirika wa INSIDER MAN na IRENE tunaita CORPORATE AMALGAMATION ambamo aidha utoe mtaji au expertise. Naona INSIDER MAN anatoa expertise, professionalism na good will.
 
Ooohhh poleni sana kaka Mungu amponye mtoto wetu arudi kua na afya bora
 
Saluti kwako Mkuu[emoji871]
 
Poleni familia ya INSIDER MAN kwa wahka mlopitia jana. Namshukuru ALLAH SWT kwa kumuafu Junior wetu. Salaam kwa Mama J.
 
LERNING IS EASIER THAN UNLEARNING ikiwa na maana Kujifunza jambo jipya ni rahisi kuliko kufuta jambo ambalo ulishajifunza.
Kibailogia binadamu yako kwenye kundi la primates. Na nature ya primates wote ni dume kuwa na jike zaidi ya moja. Hata hao wanaojifanya wabishi wakifuga primates majumbani mwao huwa wanafuga majike mengi kuliko madume.

Kama unadhani manabii walikuwa wanao wanawake wengi kwasababu wanawake walikuwa wengi kuliko wanaume basi umekosea sana.

Mwisho nakupa faida ya kijamii ya wanaume kuoa wake wengi. Mwanaume m1 kuoa/kuhodhi wanawake wengi inasababisha competition ya kugombea/kuoa inakuwa kubwa zaidi hii inapelekea thamani ya mwanamke kuwa juu na kupunguza wanawake wasioolewa.
Mwanaume m1 mke m1 inasabisha demand ya wanawake kuwa ndogo. Na kuhamisha competition badala wanaume wacompete kwa ajili ya wanaume sasa wanawake wanacompete kwa ajili ya wanaume. Zingatia law of demand and supply.

Mwisho kabisa mwanaume anapooa mwanamke zaidi ya m1 inasababisha wanaume wenye uwezo wa juu kuoa wanawake wenye mvuto na kusababisha idadi yao ipungue wakati demand bado iko juu hii inapelekea wanaume wenye uwezo wa chini kutokuwa na option bali kuoa wanawake wanaoonekana kama rejects kama walemavu ama waliozalia nyumbani.

Ndio maana zamani kila mwanamke hata awe na kasoro gani ya kimaumbile aliolewa ila siku hz hahahaha namba inasomwa vibaya mno mpaka kwa warembo. Nendeni makanisani hasa haya yanayojiita ya kiroho muone jinsi demand ikivyoshuka.

Ukisoma biblia hakuna sehemu ilikokataza wake wengi. Suala la mke m1 zilikuwa busara za paulo kupunguza baadhi ya migogoro ya kifamilia baadae kanisa la Rumi wakaiga na kuliingiza kwenye sera za kanisa na kwa kuwa kabisa la Rumi ndio baba wa makanisa yote ya kisasa basi tukatembea nayo mpaka leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…