Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Lakini katika takwimu hizo kumbuka kuna hanithi, mashoga, waseja (mapadre), na pia kuna wasiokuwa na nguvu za kutosha, walioamua kutojihusisha na maswala ya mapenzi, wafungwa ...
Hizi ndizo hoja mnazokujaga nazo, hayo yote hayapo kwa wanaume tu hata wanawake wapo wanaoyapitia tena wengi sana, na ukumbuke idadi ya wanaume ndio imezidi tofauti na tunavyoaminishwa
 
Hizi ni propaganda kama propaganda nyingine tu yani umerudia kile kile ambacho nimetoka kukikosoa awali, binadamu tuko kwenye kundi la wanyama lakini bado kuna tofauti kubwa sana kati yao na yetu na mambo tunayotofautiana nao ni mengi zaidi kuliko tunayofanana nao, mwisho nakukumbusha kwamba world population statistics zinaonesha wanaume ni wengi kuliko wanawake sababu inayofanya hizo propaganda zenu zionekane illogical and inapplicable
 
Ndugu Mwandishi,

Mosi, naona umeanza kumuweka Mwanadamu kwenye kundi la Primates yaani viumbe jamii ya manyani na masokwe n.k n.k, ni kweli tupo humo lakini kuna kitu kimoja ambacho kinatutofautisha licha ya ufanano wetu kwa asilimia 99, nacho ni UTASHI WA KUAMUA JEMA NA BAYA, Je huoni kuwa kwa kuwa amekosa utashi ndio anaamua kuoa majike mengi.

Pili, naona umesema kuna manabii waliona faida ya kuwa na wake wengi, na declare interest mie ni Mkristu na naomba unisaidie kunitajia hao manabii, just curious... Nimeshuhudia ndoa nyingi za mitala hasa za waislamu asilimia kubwa wanazidiss, wanasema uke wenza ni kazi.

Tatu, umesema tuzingatie law of demand and supply lakini umesahau kuwa hii law inatumika under certain conditions either being "ceterius paribus" ama ile ya "mutatis mutandis", Je unadhani ni sahihii kutumia hii law na ikawa effective katika hoja tajwa.

Mwisho, umeongelea kitu MVUTO au UZURI, nadhani hapa pia inabidi uwe specific unapoongelea uzuri una maanisha nn, mm ninachoelewa inawekana ukamuona mwanamke X mzuri kwako lakini mtu mwingine akamuona huyo mwanamke X si chochote, kwa muktadha huo am sure wanawake wote wanaweza kupata wenza regardless of mvuto unaoongelea ww.

Hitimisho, KAMA IMANI YAKO, UTASHI WAKO NA UWEZO WAKO UNAKUAMBIA MUME MMOJA KWA WAKE WENGI NI SAWA THEN GO FOR IT, MASUALA YA KUCOMPARE NA PRIMATES, MANABII SIJUI LAW OF DEMAND AND SUPPLY SIDHANI KAMA NI SAWA.
 
Wewe ni me au ke

Kama ni Me na unaitambua vizuri saikolojia ya wanawake basi itakuwa umeandika kwa mihemuko tu kwa lengo la kubalance, kitu ambacho hakitakiwi mana mwanaume sikuzote ni kiongoz mbele ya mwanamke

Na ujiulize kwann Uzoefu wa mapenzi kwa mwanamke ni kushuka thamani ila kwa wanaume ni kitu Bora sana na wanawake hawataki mwanaume ambae hajui kitu kwenye mapenzi
 
Hii naiona Kama hutaki kukubaliana ukweli. Iko ivi Kuna wanawake ambao commonly wanavutiwa na wanaume wengi kuliko wengine. Kuna mwanamke anapita vichwa vinageuka karibia kijiwe kizima Ila Kuna mwingine akipita hata Hakuna kujitingisha na stori hazikatiki Ila yupo akipita anakata maongezi watu wote wanaduwaa mkuu.
Wanabakia kujiumauma yaani hili naweza nikabeti milele.
Hebu cheki hii hapa video cheki huyo jamaa ambavyo anatolewa macho na mademu karibia mtaa mzima njiani mpaka washkaji wanamkubali kwa body yake na wanavutiwa naye kiasi kwamba jamaa akimshika demu akamle anakuwa Hana Ile resistance hata sie tuko kwa demu ambaye Ni mkali. Yaani Ile ukimuona upo na demu mwingine anakuteka hisia zote zinavutwa na yeye.
Ila kama unabishia msuli bisha
 
Ndugu, sorry ningependa kwanza kufahamu Je umeshaoa au kuolewa? Je unaishi maisha ya kuwa na Mke/demu au mpenzi kwa muda huu.

Unaongelea kitu umekiita 'commonly' nadhani ukiwa una maanisha kuna wanawake/mabinti ni visu kweli kweli kila mtu anamkubali na hata kijiwe kizima kinamtolea macho.

Kumbuka, tunaishi katika dunia ambapo sio PERFECT WORLD, maana ya kwamba inawezekana Binti wa Kimasai akawa Kisu kwenye jamii hiyo lakini akipita katika vijiwe vyenu mkamdiss

Nakazia , katika dunia ambayo sio PERFECT hakuna kitu commonly kama ulivyokuja na hoja yako mfu, kumbuka hata hapo katika VIJIWE VYENU inawezekana .... ukapenda demu mweusi, mwingine akapenda mweupe, huyu atataka mrefu huyu ata mfupi, Mwingine atataka bonge na mwingine kimbau mbau hivyo narudia kusema UZURI/MVUTO upo ndani ya mtu husika.

Nb. Ifikie mahali MKE MMOJA akaamua KUWA NA WAUME WENGI ISIWE NONGWA WALA ASIPIGWE MAWE na MWANAMKE akaonekana KAHABA.
 
Huyo ATAKUA wale chomeka, chomoa!.... Ama kama ni KE......ni dizaini wale...."Maliza niwahi kupanga chakula"
 
Hakuna hoja hapo ya kijiwe kizima kimemuelewa,, wewe sema kwa muda huo hiko kijiwe mlikaa wanaume mnaomtamani huyo mwanamke. Huyo huyo mwanamke aliyefanya stori zikatike, akipita sehemu nyingine wanamuona takataka.

Huyo mwanamke unayesema hana mvuto, kuna mwanaume sehemu atamfukuzia kishenzi. Sasa aijui kijiwe chako kisiposhtuka ndo unajua watu wote hawashtuki au vipi.

Macho yako, moyo wako, fikra zako na hisia yako visifanye hitimisho kwa wote.
 
Umenena vyema,wahenga wanasema UKIONA CHA NINI WENGINE WANAULIZA NITAKIPATA LINI.
 
Yooooh hold on,mbona sikusomi ?but sy lazm nikuelew,so kichwa cha chini kikiamka ni kwamba hatujielewi ety?
 
Kuna watu mna discussion ambayo inaharibu uzi wetu pendwa.
Mnaweza mkafungua uzi wenu ili mtupunguzie jam ya notifications ambazo hazina faida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…