Pole Muuza ubuyu, yote hayo kayataka fanani ambaye ameacha hadhira ikiwa katika mshawasha wa kupata muendelezo wa mtu kuliwa tena...Kuna watu mna discussion ambayo inaharibu uzi wetu pendwa.
Mnaweza mkafungua uzi wenu ili mtupunguzie jam ya notifications ambazo hazina faida?
Asante sana kwa uungwana mkuu, ngoja tumsubiri INSIDER MAN tuendelee na simulizi yetu [emoji120]Pole Muuza ubuyu, yote hayo kayataka fanani ambaye ameacha hadhira ikiwa katika mshawasha wa kupata muendelezo wa mtu kuliwa tena...
Anyways, ikiwa ni mmoja wapo wa tu wenye discussions tunaomba radhi....
Huyu nimemkubali. Huyu ukiniambia anafanana na Iryn nakubali. Haka kametulia. Haka kameumbwa haka[emoji3581]View attachment 2783812
Kwa wale wasiomjua Iryn ndio huyu hapa.
Pole sana INSIDER MAN pole sana kwa kuuguza.
Pole kwa Junior na muombea afya njema
HAKUNA episode,
Wamekula ya mbuzi wameota mapembeNdugu INSIDER MAN ulituambia kuwa episodes zote ziko tayari unamalizia kuhariri tu halafu unatupia na kufikia mwisho wa wiki iliyoisha jana ungekuwa umeimaliza yote.
Tafadhali zingatia mkataba tunaoingia kila mara.
Asante.
Pole sana mkuu hope anaendelea poa nowNdugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.
Maombi yenu [emoji120]
Acha kudanganya watuHizi ni propaganda kama propaganda nyingine tu yani umerudia kile kile ambacho nimetoka kukikosoa awali, binadamu tuko kwenye kundi la wanyama lakini bado kuna tofauti kubwa sana kati yao na yetu na mambo tunayotofautiana nao ni mengi zaidi kuliko tunayofanana nao, mwisho nakukumbusha kwamba world population statistics zinaonesha wanaume ni wengi kuliko wanawake sababu inayofanya hizo propaganda zenu zionekane illogical and inapplicable
Acha kupotosha Umma kwa ufinyu wako wa Maarifa.Hizi ni propaganda kama propaganda nyingine tu yani umerudia kile kile ambacho nimetoka kukikosoa awali, binadamu tuko kwenye kundi la wanyama lakini bado kuna tofauti kubwa sana kati yao na yetu na mambo tunayotofautiana nao ni mengi zaidi kuliko tunayofanana nao, mwisho nakukumbusha kwamba world population statistics zinaonesha wanaume ni wengi kuliko wanawake sababu inayofanya hizo propaganda zenu zionekane illogical and inapplicable
Nimetangulia kusema learning is easierthan unlearning.Hizi ni propaganda kama propaganda nyingine tu yani umerudia kile kile ambacho nimetoka kukikosoa awali, binadamu tuko kwenye kundi la wanyama lakini bado kuna tofauti kubwa sana kati yao na yetu na mambo tunayotofautiana nao ni mengi zaidi kuliko tunayofanana nao, mwisho nakukumbusha kwamba world population statistics zinaonesha wanaume ni wengi kuliko wanawake sababu inayofanya hizo propaganda zenu zionekane illogical and inapplicable
Mosi kibailogia binadamu ni primate. Kama hautaki kukubali basi hapo haubishani na mimi bali bailogia. Nakuongezea tu sifa ya kipekee ya primates ni kujamiiana kwa madhumuni mawili (uzao na starehe). Tofauti ya binadamu na nyani ni utashi sio bailogia.Ndugu Mwandishi,
Mosi, naona umeanza kumuweka Mwanadamu kwenye kundi la Primates yaani viumbe jamii ya manyani na masokwe n.k n.k, ni kweli tupo humo lakini kuna kitu kimoja ambacho kinatutofautisha licha ya ufanano wetu kwa asilimia 99, nacho ni UTASHI WA KUAMUA JEMA NA BAYA, Je huoni kuwa kwa kuwa amekosa utashi ndio anaamua kuoa majike mengi.
Pili, naona umesema kuna manabii waliona faida ya kuwa na wake wengi, na declare interest mie ni Mkristu na naomba unisaidie kunitajia hao manabii, just curious... Nimeshuhudia ndoa nyingi za mitala hasa za waislamu asilimia kubwa wanazidiss, wanasema uke wenza ni kazi.
Tatu, umesema tuzingatie law of demand and supply lakini umesahau kuwa hii law inatumika under certain conditions either being "ceterius paribus" ama ile ya "mutatis mutandis", Je unadhani ni sahihii kutumia hii law na ikawa effective katika hoja tajwa.
Mwisho, umeongelea kitu MVUTO au UZURI, nadhani hapa pia inabidi uwe specific unapoongelea uzuri una maanisha nn, mm ninachoelewa inawekana ukamuona mwanamke X mzuri kwako lakini mtu mwingine akamuona huyo mwanamke X si chochote, kwa muktadha huo am sure wanawake wote wanaweza kupata wenza regardless of mvuto unaoongelea ww.
Hitimisho, KAMA IMANI YAKO, UTASHI WAKO NA UWEZO WAKO UNAKUAMBIA MUME MMOJA KWA WAKE WENGI NI SAWA THEN GO FOR IT, MASUALA YA KUCOMPARE NA PRIMATES, MANABII SIJUI LAW OF DEMAND AND SUPPLY SIDHANI KAMA NI SAWA.
Hapa tunabishana kwa facts mkuu siyo mihemko, acha porojo lete takwimu za mlinganyo wa idadi kati ya wanaume na wanawake, na ungekuwa unaijua saikolojia ya binadamu usingeandika hizi pumba eti mwanamke akiwa periods au gestation mwanaume ataangaliana naye tuAcha kupotosha Umma kwa ufinyu wako wa Maarifa.
Mungu mwenyewe muumba wa mbingu na vyote vilivyomo ameamuru kwenye Vitabu vyake vitukufu Juu ya Waume kuoa zaidi ya mke Mmoja isipokuwa tu kwa kuzingatia taratibu za kiuadilifu.
Halafu hizo takwimu zako unazotoa hazina uhalisia ni Unataka kufurahisha Genge tu hapa!
Biologically females ratio to male Huwa ni wake wengi wame wachache.
Na wewe hata kama ndio hujawahi kufuga basi tuseme kuku .....Jogoo huwa ni wachache na mikoo/kuku jike huwa ni wengi interms of ratio ndani ya banda ulishawahi kujiuliza kwanini?
Other point ni Kwamba Kati ya Male na Female nani anakwenda Period Kila Mwezi ?
Hii inamaa kuwa zidi siku zinaenda na umri humfanya Female kupoteza thamani yake kutokana na Kuikaribia Menopause/Ukomo wa uchavushaji mayai ya uzazi.
Ambapo kwa Mwanaume ni tofauti kabisa yeye zidi umri unakwenda ndio ankomaa zaidi maungo yake ya uzalishaji mbegu za uzazi na anaweza kuzalisha zaidi na zaidi hata awe kikongwe.
Sasa Mungu ametuumba kwa Lengo kuja tuzaane na tuijaze Dunia huku tukimwabudu.
Tutaijazaje Dunia kwa Menopause za mke Mmoja ? Kumbuka wazaaji ni wanawake !
Na Ushawahi kujiuliza Dume ambalo liko active Wakati jike Yuko kwenye Gestation period/Kipindi cha Ujauzito miezi Tisa yote ni Kwamba unakuwa umekaa tu mnaangaliana na mkeo ?
Ndio maana ikawekwa unaweza ukawa na wake zaidi ya Mmoja Ili kupunguza chance ya mwanaume kuzini nje ya Ndoa.
Na suala la kusema eti wanawake wawe na mwanaume zaidi ya Mmoja kimaumbile Mwanamke hata akiwa na wanaume 10 kwa mpigo ...mimba atayoshika Moja tu!
Ila mwanaume anaweza akawangilia wanawake 10 na akawapa Ujauzito wote kwa mpigo !
That's nature.... you guys females msipingane na mifumo ya Mungu !
Huwa nashindwa kuelewa huo usawa mnaolazimisha kati ya binadamu na wanyama wakati nimetoka kusema hapo kwamba mambo tunayotofautiana nao ni mengi zaidi kuliko tunayofanana nao, binadamu kufanana na wanyama biologically haina maana kwamba tunafanana nao mpaka psychologically, yani saikolojia ya binadamu na wanyama ni tofauti kabisa mkuu kaa ukijua hiloNimetangulia kusema learning is easierthan unlearning.
Sasa kama mtu unashindwa kukubali kuwa kibailogia binadamu ni primates si unataka kubishana tu. Kwanini nimegusia primates na sio kundi jingine, ni kwasababu makundi mengine ya wanyama yanajamiiana kwa ajili ya uzao lakini primates wanajimiiana sababu ya uzao na starehe pia.
Hakuna sehemu nilipolinganisha male vs female population.
Kwa kawaida nashusha points, chaguo linabaki kwako kama zinaeleweka ama ni ujinga. Kubishana ni kupoteza muda
Ndio hivyo tu naheshimu Uzi wa Insider nisije nikamharibia kwa Maongezi tofauti.Hapa tunabishana kwa facts mkuu siyo mihemko, acha porojo lete takwimu za mlinganyo wa idadi kati ya wanaume na wanawake, na ungekuwa unaijua saikolojia ya binadamu usingeandika hizi pumba eti mwanamke akiwa periods au gestation mwanaume ataangaliana naye tu
Ndio kwani mwanaume akikaa hicho kipindi chote bila kusex na mwanamke anapata madhara gani, anaumwa au anakufa au anapatwa na nini hasa cha ajabu msifikiri hivi vitu tunaongea kwa mihemko tu kama ninyi, HAKUNA binadamu asiyeweza kuzuia tamaa ya ngono narudia HAYUPO hayo yote ni kujiendekeza tu
Kisaikolojia vitu pekee ambavyo binadamu hawezi kujizuia ni njaa, usingizi, kiu ya maji, pumzi, kufanya zile involuntary actions na kutoa taka mwili maana ni dhahiri baada ya muda fulani atakufa, ila hayo mengine yote ni kujiendekeza tu maana kuna wanaume marijali wanaishi vizuri tu bila kuwa na mwanamke kabisa sembuse kuwa na mwanamke mmoja, na sijawahi kuona wala kusikia takwimu zinazoonesha wanaokufa kwa kukosa sex hakuna
Her face is just normal but her nipples are driving someone crazy. He (that someone) has erotic fantasy on herView attachment 2783964
Could Irene be as cute as this chic
Duuh...! Pole sana mkuu. Kila la kheri MUNGU awalindeNdugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.
Maombi yenu [emoji120]
Her face is just normal but her nipples are driving someone crazy. He (that someone) has erotic fantasy on her