Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Sio kawaida aisee last activity tarehe 31/10 kama kuna wajumbe wanapajua kwake mtembeleeni asije akawa ana changamoto
 
Kama hajapatwa matatizo basi.

Anajaribu kutuzingua kwa kuleta mbwembwe.
 
Nikweli mkuu,naimani hii simulizi ya huyu jamaa imefanya tugande hapa lln kumbe kuna simulizii zingine au majukwaa mengine
Attention ina utamu wake acha ndugu yetu ajipakulie minyama. Kila akiscroll anakuta notifications kama buku, burudani kabisa.
 
Umepoa Uzi kwa wiki hii..

Kaboa kurudi kwa Asmah or so ๐Ÿคฎ

Yaani hakupendi hajitambui huyu mleta mada.. nimerudi Leo naona bado.. haya malizia jinsi usivyo na heshima kwa wanawake wewe.. wanawake wote Duniani unakula hao hao bila kukuheshimu Bosi wako..

Uchafu mtupu.. hujiamini haujitambui kwenye mapenzi.. ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… nicheke tu..

Malizia ukasome.. kila la kheri na masomo yako
 
Makasiriko ya nini tena๐Ÿ˜ƒ
Hii ilikuwa based on true story huwezi jua kama ni kwel au la vyote vinavyozungumzwa
Mwandishi sometimes anaandika kutokana na hadhira yake inataka kusikia nini mara zote
 
Makasiriko ya nini tena๐Ÿ˜ƒ
Hii ilikuwa based on true story huwezi jua kama ni kwel au la vyote vinavyozungumzwa
Mwandishi sometimes anaandika kutokana na hadhira yake inataka kusikia nini mara zote

Na mie no msomaji.. lolote naweza sema... Ameboa... Nawe huoni aibu kuandika uliyoandika ..
Nicheke Tu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ