Watu mna hasira. Kwani baada ya mechi si inaweza kuwa hata week ijayo? πππW
Wewe ni KIAZI π₯
Uzi wenyewe tunasoma bure, hatumlipi wala JF hawamlipi but bado unamtukana! Interesting.Huyo Kenge anajikutaga sana,mpaka abembeleeezwe
Wameongezeka wawili Jumla 16π14 people are here
Kuna mtoto wa 3?? Ukiacha wa Irene Mama J kuna mwingine πshangazi sina habari πUzi wenyewe tunasoma bure, hatumlipi wala JF hawamlipi but bado unamtukana! Interesting.
I can bet; INSIDER MAN ana andikaga hu uzi akiwa kajificha mama J asione ana post nini mtandaoni; mmejiuliza siku 1 mama J aje agundue kama mwamba kapiga show na madem hao wote nini kitatokea kwa ndoa yake? Halafu baadhi kapanga kabisa kuwapiga na mimba? What about Asmaa, remember hadi pilau la Christmas alikulaga kwa mama J but mama J hata hajui kama yule nae alikua mke mwenza. Wanaume wenzie tunamuelewa sana; tumsubiri. Again, kipindi cha likizo cha review za paper la NBAA (Nani Bingwa Aje Aone ) kimekwisha, dogo bado anapambania CPA yake na ana watoto 3 wanaojulikana, tumvumilie.
Watoto wengine huaga wanajulikana siku mwanaume anapelekwa kaburini. Anyway, aliwahi kuliandika hili wakati kaianza season 2; juzi pia hapa alitupia message za mwanamke 1 ambaye inahisiwa atakua mama J so huenda tayari J ana wadogo zake 2.Kuna mtoto wa 3?? Ukiacha wa Irene Mama J kuna mwingine πshangazi sina habari π
Ok Asante nakumbuka alisema kapata mtoto nikajua Irene kajifungua ila tujiulize yanini wakati INSIDER MAN yupoWatoto wengine huaga wanajulikana siku mwanaume anapelekwa kabuni. Anyway, aliwahi kuliandika hili wakati kaianza season 2; juzi pia hapa alitupia message za mwanamke 1 ambaye inahisiwa atakua mama J so huenda tayari J ana wadogo zake 2.
Story inaendelea...., bahati mbaya ni kama story inaelekea ukingoni cause alisema, story itaishia mwezi June 2023 na ndio tumeianza June hiyo.Ok Asante nakumbuka alisema kapata mtoto nikajua Irene kajifungua ila tujiulize yanini wakati INSIDER MAN yupo
mahusiano
biashara
kazi
kula bata yaani kuishi
uaminifu
uthubutu nk
Bei gani hii NURUBiryani yenyewe ππππ
Anaupiga mwingi πKuna mtoto wa 3?? Ukiacha wa Irene Mama J kuna mwingine πshangazi sina habari π
Insider shida yake watoto mabint za watu kuwa ma single maza sio shida zake ππWallah simpendi Mary INSIDER MAN unazingua aisee basi upige tu unataka na mtoto.
Umechanganya nini na nini humo ?8000 TZS kipenzi.
Nini wewe?Mwenye uzi wake aandike maneno kibao na wewe uandike content mnyffyuuuuuuu