Beautiful without brain πmaisha yangu sizalishwi bila ndoa toka usichana nakwepa na sio ndoa ili mradi ndoa yaani nikuone unafaa kuwa baba na mume hauna mambo mengi,mume wa kwanza tuliowana tukajaaliwa watoto wa 2 tukaachana alipo anza mambo ya wanawake nikasepa mume wa 2 alificha makucha kukaa nae ndani alinionesha mapicha picha nikasema sizai ng'ooo 2013 tukaachana nikasema sasa natuliza komwe langu mpaka 2021 nikaolewa na mume wa sasa tuna watoto wa 2 Alihamdulillah hapa naona kifo tena ndo kitatutenganisha mume wangu katulia hana mambo mengi kazini home baba bora na mume bora kwangu may be umri wake unachangia kashamaliza ujana.nae kuniowa kasota sanaa miaka 10 anaimba aniowe hapo nachuja nani awe mume wangu mpaka kifo πnilikuwa pisi kali sasa mshangazi.