Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

duuh
 
Kama upo Samaki Samaki- Masaki na umekutana na Benzi nyeusi imepark nje. Bhasi jua Insider yuko ndani na mama J 😂😂🙌🏻🙌🏻
Katika hili nikupe pongezi kwa kweli.
Hiz sio akili za kibongo.

Vijana wengi wa kibongo wangekutana na mwanamke dizain ya Irine lazima network kichwan ingekata na kupoteza mwelekeo wa familia aliyonayo
 
Nina 50k hapa nataka itoa kwa watu watano (5). Nitaitoa kwa member ambao wako Active sana kwenye hii thread tangu tum

Sijawahi kuwa na Bahati ya kupewa kitu kama zawadi Naamini Mimi sipo Kati ya Hao ata kama ningekufwatilia kwa kila dakika tangu aunze story. Na sijui ni kwa ni?
 
JAMANI PAMOJA NA KUSTORIKA NA STORY NZURI SANA, KWA WALE KWENYE HELA HAWAJUI WAWEKEZE WAPI
NIPO MKOA WA TANGA KWA SASA KUNA FURSA YA KUWEKEZA KWENYE MKONGE/KATANI.

1.Mashamba mapya sh 400,000 - 600,00.
2.Unang'oa visiki utapata faida ya mkaa ukichukua kibali kugoa ni kuanzia 200,000-300,00 kutokana na kusongamana.
3.Unapiga trector kila Ekari sh 60,000.
4.unapanda MKONGE mbegu au Maotea ya MKONGE hapa itategemea utapanda upi.
5.Hapo inabaki kuipalilia au kupiga Dawa za nyasi pia unaweza kupanda Mahindi au Maharagwe au zao lolote mpaka kufikia mwaka wa 3 wa kuanza kuvuna pia Kuna kuwapa watu walime Mazao yao ili wakupalilie MKONGE wako.
6.Mavuno, MKONGE utakatwa mara 2 kwa mwaka ili uwe katika hali nzuri, kwa Hector moja ambayo ni Ekari kama mbili na nusu utapata Sh 18,000,000-24,000,000. Itategemeana na soko kwa wakati huo. Kipato hicho ni mikato yote miwili namaanisha yaani kwa mwaka.
7. zoa rahisi Kwani haliibiwi na upati Shida kuvuna wanavuna kampuni unayowauzia, pia litakuruhusu kufanya kazi zako nyingine Kwani haitaji ufwatiliaji wa Karibu sana. Kusiwepo na nyasi tu shambani ili wahuni wasitie kiberiti.
Uzuri mwingine Aridhi inabaki kuwa Mali yako inaendelea kupanda dhamani waweza badili matumizi
Pia MKONGE ukianza kuvuna hata vitukuu vyako vitavuna huo huo ulioupanda hauzeeki.
Mashamba yapo ukihitaji usaidizi wangu Karibu ila kuwa Makini huku utapeli nje nje. Fwata process zote.

Miaka 3 tu unaanza kula matunda Asanteni
 
Mkuu naomba mawasiliano yako tafadhali
 
Daah!kmmke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…