Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ukiwa na kiasi kikubwa cha Pesa unatakiwa kudeclare pamoja na kuonesha source ya income ya hizo pesa. Below $10,000 hakuna shida ila ikizidi hapo lazima ufanye declaration Airport unakotoka.

Hata wewe ukitaka kusafiri kwenda nje na 100M unaruhusiwa ila ufanye declaration tu. Kingine utambue sheria za huko unakokwenda.
Ahsante kwa ufafanuzi🙏
 
Tena sio cheti km cheti tu,wasije kujipeleka Bomani kwa ndoa ya kiserikali ati ili wapate cheti,nashauri wamalizane na Mungu kwa kufunga ndoa kwa misingi ya imani zao.
Nani aliwajaza huu ujinga kwamba ndoa ya bomani sio ndoa???
 
Mbona Ni ndoa ,Ina babu wa babu yangu alivyooa kabla ya ujio huu wa wakoloni kuwa sio ndoa,Kuna ya kimila,kanisani, serikalini,pote hapo unapata cheti inategemea wewe tu. Yaani wewe na ujinga wako ukaamisnhwa vya wenye ngozi za nguruwe ndio zinafaa
 
Mbona unamaindi kwa ishu ambazo hazina faida hata kwa Wanao. Kumaindi madini mbuga gesi bandari tanesco kusuasua huwezi. Ila Africa kwa anasa ,miziki na ngono tumebarikiwa, we need to recolonize
Na wewe pita zako kulee. Hili jukwaa la nini..? Na uzi unahusu nini..? Nyie mafantazz mnaojifanya mnajua maswala ya tanesco na gesi nk afu kumbe hamna kitu mbulula tu. Nenda jukwaa husika utakutana na hizo mada. Stress zako usiwasukumie watu wasio husika. Madini, gesi tanesco kwani ndizo zinanilisha mm na familia yangu...? Maisha hayataki kuparamia mambo utazidisha msongo wa mawazo mkuu. Jitahidi kutokuvamia comment zawatu tena zikiwa jukwaa husika na kama una usongo saana na madini, gesi tanesco nk jitokeze hadharani mpaka bungeni ukawaulize wale wenye mamkala sio unatusumbua watu tusio na mamlaka hapa. Potelea mbali na ujuaji wako wa kikuda.
 
Na wewe pita zako kulee. Hili jukwaa la nini..? Na uzi unahusu nini..? Nyie mafantazz mnaojifanya mnajua maswala ya tanesco na gesi nk afu kumbe hamna kitu mbulula tu. Nenda jukwaa husika utakutana na hizo mada. Stress zako usiwasukumie watu wasio husika. Madiki, gesi tanesco kwani ndizo zinanilisha mm na familia yangu...? Maisha hayataki kuparamia mambo utazidisha msongo wa mawazo mkuu. Jitahidi kutokuvamia comment zawatu tena zikiwa jukwaa husika na kama una usongo saana na madini, gesi tanesco nk jitokeze hadharani mpaka bungeni ukawaulize wale wenye mamkala sio unatusumbua watu tusio na mamlaka hapa. Potelea mbali na ujuaji wako wa kikuda.
It's natural mechanism of brain to expell the pain. The brain having a certain beliefs once is attacked it's nuclear war
 
Tukutane kileleni kamanda
16989106289793033574102965089820.jpg
 
Mbona Ni ndoa ,Ina babu wa babu yangu alivyooa kabla ya ujio huu wa wakoloni kuwa sio ndoa,Kuna ya kimila,kanisani, serikalini,pote hapo unapata cheti inategemea wewe tu. Yaani wewe na ujinga wako ukaamisnhwa vya wenye ngozi za nguruwe ndio zinafaa
Huna akili na punguza kudandia dandia vitu kwa mbele bila kuelewa.... fatilia niliyemquote ndo uanze kujiongelesha.
Umeamka na kisirani asubuhi asubuhi husomi vitu ukatulia unavamia vamia post za watu bila hata kuelewa context. Bure kabisa!
 
It's natural mechanism of brain to expell the pain. The brain having a certain beliefs once is attacked it's nuclear war
Akili kama haitumiki kwa usahihi kwenye jambo sahihi basi inakua umechanganyikiwa. Kukuta watu wanaongea maswala yao ya dini au mapenzi ila mjinga mmoja akataka kulazimisha watu waongee kwa kuwapangia anacho wazo basi huyo mjinga kamwe asiruhusiwe kuingilia maongezi ya watu kuhusu jambo husika. Sasa mutu ya english ilokuja na meli. Ulivyo mshamba umeuliza kiswazi ukaja na contention ya english tena umeicopy mahala flani wewe ni andazi saana. Ishi kwenye misingi ya kuishi na jamii. Sawa siasa au ugunduzi watu wataongea kwa wakati wake nina nyuzi nyingi tu kwa ID zingine za kuhusu siasa na mambo mengi usiyowazia kuhusiana na watanzania na rasili mali zao. Sasa ww mjaa ujinga unakuja na upuuzi wako wakutaka kupangia mtu mzima cha kujibu kwenye uzi wa mtu mwingine ambae kaandika story tamu yenye kutufunza mambo mbali mbali katika harakati za haya maisha. Ila wewe akili yako ilivyo hovyo unaona huo uzi ni ngono tupu..? Kausome huu uzi wa INSIDER MAN mwanzo mpaka atakapofika mwisho. Kama hutapata mbinu yoyote ya kukusaidia kimaisha iwe uchumi, mapenzi, kijamii nk basi wewe utakua na utindio wa ubongo huku ukijiona mwerevu. Iruhusu akili yako ijifunze mambo mapya
 
  • Thanks
Reactions: Cyb

Am really enjoying human being brain. Kumbe mie kichwa Kama naandika from my head naonekana jamaa nimeukopi. Najua ndani ya ubongo wako why unaongea ivyo na nilijua kabla hujaandika Mana human brain is universal.
Yaani hapo atakayekuunga mkono utamuona wa maana kichizi. Mafunzo gani wakati ishu kubwa ni iryn. Sasa aache asimuongelee iryn utaona bongo za binadamu zitakavyoweweseka. Hujui why unaongea ivyo. Ni kuwa una pains na why unayo maumivu unaongea ivyo ili namie niumie Wala mie siumii. Just liberate yourself from humanness
 
Mbona unamaindi kwa ishu ambazo hazina faida hata kwa Wanao. Kumaindi madini mbuga gesi bandari tanesco kusuasua huwezi. Ila Africa kwa anasa ,miziki na ngono tumebarikiwa, we need to recolonize
We need to recolonize!?[emoji848] Are capable of recolonizing anyone? I think you meant we need to be recolonized reflecting Trump's speech.
 
Huna akili na punguza kudandia dandia vitu kwa mbele bila kuelewa.... fatilia niliyemquote ndo uanze kujiongelesha.
Umeamka na kisirani asubuhi asubuhi husomi vitu ukatulia unavamia vamia post za watu bila hata kuelewa context. Bure kabisa!
Uko sahihi According to human brain nature. Nothing u wrong with you
 
Am really enjoying human being brain. Kumbe mie kichwa Kama naandika from my head naonekana jamaa nimeukopi. Najua ndani ya ubongo wako why unaongea ivyo na nilijua kabla hujaandika Mana human brain is universal.
Yaani hapo atakayekuunga mkono utamuona wa maana kichizi. Mafunzo gani wakati ishu kubwa ni iryn. Sasa aache asimuongelee iryn utaona bongo za binadamu zitakavyoweweseka. Hujui why unaongea ivyo. Ni kuwa una pains na why unayo maumivu unaongea ivyo ili namie niumie Wala mie siumii. Just liberate yourself from humanness
Kinacho kuuma wewe ni nini..? Kama hutakua mchawi ni nini..? Siku ukifika sehemu ukakuta wanakula ugali na dagaa utaleta ujuha wako tena eeh afrika na ugali ndio maana hatuendelei
 
Hapa inabidi mtoe buku buku kila kichwa ili story iendelee ,mbona Mambo mengine ya starehe ama kukupatia Raha mnalipia. Jaribu kutuma alfu moja moja kwa watu milioni mtunzi atakuwa na bilioni moja sio mbaya ama mnaona wivu yeye kunufaika na ubongo wa binadamu kupenda ama kufanya Mambo ili kujisikia vizuri na Raha ambazo hazina mwisho.
Naombeni tutoe alfu moja moja .hata ajenge shule ama anunue ist 60 za Uber awaajiiri vijana wengine.
Yaani watu hapa watapata wivu ,wakati anakuburudisha. Waza mapenzi ama kuonekana vizuri ama kunukia vizuri ama kula vitamu Kama sukari vimeshakugharimu Bei gani.
insider mie naomba hili suala kwanza lifanyike umalizie uzi wako.
Binadamu anapenda Raha na vitu vitamu mdomoni ukimpatia hivyo vitu lazima ataumia baadaye akupe jasho lake.
Ama umfanye ajione yeye Ni mjanja ,wa thamani Yuko juu kuliko binadamu mwingine,hapa lazima atanunua kitu kwa gharama ya juu ili tu aonekane yeye Ni mjanja na ana uwezo mkubwa aka power ya pesa ama madaraka.
Naomba uweke hapa namba mie nitakuwa kuchangia buku langu pia weka group la telegram uunge watu ama uchapishe PDF uwe unawarushia story yote.

Jana tu nimetoka kumuunga binti mmoja hapa akamaliza olevo sms za buku nachati naye nategemea atanipa utamu ambao nitausahau ndani ya sekunde 50 nyingi.
So why nisimchangie mtunzi anayetumia his resources zake like time,mental energy,vision energy,hand aka physical energy kuchapa herufi,bando lake,simu yake inaisha hata moto etc.
Please let us appreciate human resources potential.
Pia watu wasizoee kuburudishwa bure bure hapa,unatoa kiingilio kucheki sports ,music etc.

Hapa watu watamaindi Mana brain inapenda bure yaaani Ina seek point of low resistance like electricity,or water flows downslope.
Mind is the same matter of the universe,its nature is like how trees and animals seek free or easy meals.
Aweke tu namba siye tuko tayari.
 
We need to recolonize!?[emoji848] Are capable of recolonizing anyone? I think you meant we need to be recolonized reflecting Trump's speech.
Eeww anu alki ubwk omn. Amazing nature of brain hata ugeuezeje ataelewa tu, we've very big monster brain than ever creature in these universe.ukisikia neno moja tu unatafuta fasta kwenye files kwa spid ama ram kubwa kuliko maelezo unaunganisha dot fasta na kutoa information
 
Kinacho kuuma wewe ni nini..? Kama hutakua mchawi ni nini..? Siku ukifika sehemu ukakuta wanakula ugali na dagaa utaleta ujuha wako tena eeh afrika na ugali ndio maana hatuendelei
Hakuna kinachoniuma ,am really okay niga,cool down. Don't let your emotions control you.
 
Huna akili na punguza kudandia dandia vitu kwa mbele bila kuelewa.... fatilia niliyemquote ndo uanze kujiongelesha.
Umeamka na kisirani asubuhi asubuhi husomi vitu ukatulia unavamia vamia post za watu bila hata kuelewa context. Bure kabisa!
Mkuu safi saana hili bwazwa lina vamia vamia reply za watu. Shenz saana hilo jamaa.
 
Back
Top Bottom