Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,075
- 1,466
Wacha tuendelee kusubiri tu mkuu mpaka mwenyewe atakapojisikia kuimalizaSTORY IMEISHA.... novice writers ni wazuri kuanza ila hawajui kumaliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha tuendelee kusubiri tu mkuu mpaka mwenyewe atakapojisikia kuimalizaSTORY IMEISHA.... novice writers ni wazuri kuanza ila hawajui kumaliza
Sawa mkuu,nimefunga tyrMkifunga za dini nyie inatosha... acheni watu wahalalishe mahusiano yao kwa njia wanayoona sahihi cha msingi cheti, muhimu upendo, familia kusonga mbele na kuchagua watoto wafate msingi wa imani ipi. Hayo mengine watu watajibu kwa Mungu wakifika huko.
Binafsi siwezi acha kujenga maisha na mwenza niliyeridhika nae kisa dini
Mkuu,Mungu alikua akileta miongozo ya sisi kuifata kulingana na zama.hakutoa muongozo kwa Adam na Hawa/Eva siku moja tu.bali alikua akibadili maisha taratibu kulingana na zama.Ndoa ni nini mkuu. Maana najiiulizaga wale watu wazaman mwanzo kabsa walifungishwa ndoa na mchungaji yupi..? Na je nibatili.? Afu nitatoa mtazamo wangu mni sahihishe labda kuna jambo sijalielewa vzr
Kwani tarehe 1 imefika?
hizo dini zenyewe hazina vyeti vya ndoa wanaenda kuchukua bomani na leseni yakufumgisha ndoa pia inatoka huko huko bomani. ndoa kufungwa kanisani au msikitini sio agizo la Mungu wala Yesu wala mitume wengineMkuu,Mungu alikua akileta miongozo ya sisi kuifata kulingana na zama.hakutoa muongozo kwa Adam na Hawa/Eva siku moja tu.bali alikua akibadili maisha taratibu kulingana na zama.
Kila zama zilikuja na taratibu mpya kama serikali za mataifa zinavyobadili katiba na mitazamo siku hizi,huwezi kutumia katiba ya mwaka 1800 sasa hivi bali utakuta kwa sasa kuna katiba na taratibu mpya za sasa,na watu wa zama za 1800 ukiwafufua sasa hv watashangaa kwa hii katiba na kanuni tunazotumia sasa hv,hivyo hivyo na Mungu wetu alitubadilishia mifumo ya maisha kadri zama zilivyobadilika,lakini hii si lazima kila mtu aikubali au kuifuata,bali ni mitazamo tu ya kiimani,ukiona inakufaa unaifuata na ukiona haifai unaiacha,mambo ya imani si ya kulazimishana kama ya kiserikali maana unafata jinsi akili yako inavyoona inafaa mkuu.ndo maana kuna imani na dini tofauti maana kila mmoja anafata pale anapoona panamfaa maana hatukuwepo kipindi hicho .
hizo dini zenyewe hazina vyeti vya ndoa wanaenda kuchukua bomani na leseni yakufumgisha ndoa pia inatoka huko huko bomani. ndoa kufungwa kanisani au msikitini sio agizo la Mungu wala Yesu wala mitume wengine
🤝🤝Mkuu,Mungu alikua akileta miongozo ya sisi kuifata kulingana na zama.hakutoa muongozo kwa Adam na Hawa/Eva siku moja tu.bali alikua akibadili maisha taratibu kulingana na zama.
Kila zama zilikuja na taratibu mpya kama serikali za mataifa zinavyobadili katiba na mitazamo siku hizi,huwezi kutumia katiba ya mwaka 1800 sasa hivi bali utakuta kwa sasa kuna katiba na taratibu mpya za sasa,na watu wa zama za 1800 ukiwafufua sasa hv watashangaa kwa hii katiba na kanuni tunazotumia sasa hv,hivyo hivyo na Mungu wetu alitubadilishia mifumo ya maisha kadri zama zilivyobadilika,lakini hii si lazima kila mtu aikubali au kuifuata,bali ni mitazamo tu ya kiimani,ukiona inakufaa unaifuata na ukiona haifai unaiacha,mambo ya imani si ya kulazimishana kama ya kiserikali maana unafata jinsi akili yako inavyoona inafaa mkuu.ndo maana kuna imani na dini tofauti maana kila mmoja anafata pale anapoona panamfaa maana hatukuwepo kipindi hicho .
Ndoa ni makubaliano ya pande mbili za familia kukubaliana vijana wao kuishi pamoja kama mke na mume. Hivyo siku wazazi wa kiumeni wanapoenda kutoa mahali na kukubaliwa upande wa kikeni ile tayari ni ndoa . Na ndio maana mara baada ya tukio familia za pande zote mbili huanza kushirikiana kwenye mambo ya kijamii.hizo dini zenyewe hazina vyeti vya ndoa wanaenda kuchukua bomani na leseni yakufumgisha ndoa pia inatoka huko huko bomani. ndoa kufungwa kanisani au msikitini sio agizo la Mungu wala Yesu wala mitume wengine
Una uhakika...Mwenyewe huzi huu Jana kapata ajali Yuko muhimbili
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
DuuuuhMwenyewe huzi huu Jana kapata ajali Yuko muhimbili
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
mwenye mamlaka kamili ni serikali tu hao wengine wanaisaidia serikali overNdoa ni makubaliano ya pande mbili za familia kukubaliana vijana wao kuishi pamoja kama mke na mume. Hivyo siku wazazi wa kiumeni wanapoenda kutoa mahali na kukubaliwa upande wa kikeni ile tayari ni ndoa . Na ndio maana mara baada ya tukio familia za pande zote mbili huanza kushirikiana kwenye mambo ya kijamii.
Kupata cheti cha ndoa ni sehemu ya kutii wenye mamlaka(kama ilivyo kwenye Biblia) kwa kuwa wao ndio wanakihitaji ili kuitambua ndoa hiyo kuwa ipo kihali kwa mujibu wa sheria za nchi. Na ndio maana hati za usajili wa ndoa, kuzaliwa, kufa pamoja na ufilisi nafikiri ziko chini ya usajili wa taasisi moja(RITA). Viongozi wa dini wamekasimishwa madaraka ya kutoa vyeti vya ndoa kwa niaba ya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwenye mamlaka kamili na cheti cha ndoa nafikiri ndio unachomaanisha na ndicho nilichoandika.mwenye mamlaka kamili ni serikali tu hao wengine wanaisaidia serikali over
kwa hiyo ndoa ya bomani ni ndoa kamili na inayokubalika hata mbele za Mungu maana mamlaka zote ni yeye ameziweka. DINI NI TAASISI TU KAMA ILIVYO RITAMwenye mamlaka kamili na cheti cha ndoa nafikiri ndio unachomaanisha na ndicho nilichoandika.
Uko sahihi. Sema shida inakuja kwenye misimamo ya dini.kwa hiyo ndoa ya bomani ni ndoa kamili na inayokubalika hata mbele za Mungu maana mamlaka zote ni yeye ameziweka. DINI NI TAASISI TU KAMA ILIVYO RITA