INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
- Thread starter
- #15,141
Leo nitashabikia Ethiopia 🇪🇹. Then tukutane baada ya mechi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba unampa sapoti mama mtoto sioLeo nitashabikia Ethiopia 🇪🇹. Then tukutane baada ya mechi.
Unoko sio Uzalendo aiseeLeo nitashabikia Ethiopia 🇪🇹. Then tukutane baada ya mechi.
Kwa hiyo ukipika unakuwa gay? Ukila je? Ukifua nguo unazovaa utakuwa gay?Kwa hiyo Jr unasupport wanaume wawe microwave (gay) huyu jamaa kasema ukweli hizi elimu zenu za uwongo mnameza mashuleni hatari saana, wanaumia watoto wakiume wanaolelewa na mama zao
Akipigwa muabesh,, tunataka picha ya Irene mkuuLeo nitashabikia Ethiopia 🇪🇹. Then tukutane baada ya mechi.
Hapa tunasubiri mtoto azaliwe mwezi wa 18 huu
Hata kama tumepiga copy na Wahabeshi lakini jaribu kua mzalendo bhana. Halafu shem wetu kwao ni S. A, Ethiopia ni ujombani, ieleweke hivoLeo nitashabikia Ethiopia 🇪🇹. Then tukutane baada ya mechi.
Mi nadhani hao vijana ni wa kuwapotezea tu; unapoteza muda wako bureKwa hiyo ukipika unakuwa gay? Ukila je? Ukifua nguo unazovaa utakuwa gay?
Ye si baba junior, na mama junior kwa shughuli za huyu jamaa sijui huko mtaani chuo.Kwa sasa labda wa Iryn or Mary labda eeeeh
Ahadi za INSIDER MAN huchelewa kutimizwa.Tujipange tu kesho
Huyo Kenge anajikutaga sana,mpaka abembeleeezweAhadi za INSIDER MAN huchelewa kutimizwa.
Dah. Kenge tena!Huyo Kenge anajikutaga sana,mpaka abembeleeezwe
Dah nimejuakwann tuliambiwa tusome ngosw.Leo nitashabikia Ethiopia 🇪🇹. Then tukutane baada ya mechi.
Kinachokufanya mpaka umtukane mwenzako ni nini? Afya yako ya akili iko sawa?Huyo Kenge anajikutaga sana,mpaka abembeleeezwe
Wewe ni KIAZI 🥔Leo nitashabikia Ethiopia 🇪🇹. Then tukutane baada ya mechi.